Bi. Mkora amfunda Zitto Kabwe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bi. Mkora amfunda Zitto Kabwe!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sumaku, Jan 11, 2010.

 1. S

  Sumaku Member

  #1
  Jan 11, 2010
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  11 January 2010

  Zitto kazana na shule, achana mambo ya siasa kwa sasa.Siasa utazikuta ukishapata PhD yako, si una ndoto ya kugombea urais wewe? Sasa ukifeli hiyo shule hiyo ndoto yako utaitimizaje? Mshika mawili moja humponyoka, kazana na shule wee, kwetu Ujiji wasomi wanahesabika lakini wanasiasa ni wengi tangu enzi ya ukoloni, kina Mzee Takadiri na wengineo.Sasa na wewe usiwe kwenye kundi la wanasiasa waliokuja wakapita.

  Ukimaliza shule yako hapo unaitwa Daktari (kule kwetu watakujia wagonjwa uwatibie, itabidi ufanye kazi ya ziada ya kuwaambia mie shio Daktari wa kutibu watu bali kutibu maneno “falsafa”) utakuwa na nafasi kubwa na nzuri ya kuendelea na siasa.

  Narudia tena achana na hayo mamitandao sijui nini, kimsingi kama ni umaarufu ulishapata unahangaika nini? Kwanza kama unasema huyo Mhariri ni MwanaBidii (sijui bidii ya nini hapa) ina maana kuwa maoni yako aliyaona huko kwenye forum yenu ya Bidii na kwa kuwa yeye ndiye EDITOR angeweza kumwambia mwandishi wake kuwa hii habari uliyoiandika si ya kweli, kwa sababu sivyo alivyoandika Zitto huko kwenye forum. Kwa kuwa aliipitisha ikatoka gazetini ina maana imetoka kwa baraka zake zote. Sasa unatuleta USANII hapa kuwa ‘nimemuomba’ mhariri, unamuomba nini na wewe una hakika hukutendewa haki na vyombo vinavyohusika na maadili ya vyombo vya habari viko kwa ajili yenu? Kwanini usipeleke malalamiko yako ukalishtaki gazeti na Mhariri wake? Ama ni njia yako ya kutaka umaarufu, maana hata bad publicity inalipa si watu wanakusikia uko hewani umeandikwa aidha kwa mazuri au mabaya lakini uko hewani.

  Mie ushauri wangu kwako, acha usanii, kama ni kweli wamekukosea, basi wafikishe kunakohusika, sio kuleta blah blah kwenye mitandao. Maana kusema umejitoa kwenye Bidii forum, bado haujatupa ushahidi wa kutosha jinsi hao Bidii Forum walivyohusika na kukuandika vibaya kwenye gazeti la Tanzania Daima. Maana ingekuwa huko kwenye Bidii Forum moderator amebadilisha maoni yako uliyoyatoa hapo ningesema kuwa una haki ya kuwalaumu na kuwasema vibaya na kujitoa kwao. Lakini waliokuandika vibaya ni gazeti la chama chako kipenzi, gazeti la Chadema “Tanzania Daima”, ningetegemea unasema jamani eeh mie nimeshachoka kupakwa matope na hawa Chadema kupitia gazeti lao na kuanzia leo nachukua hatua zifuatazo, 1, 2, 3.

  Nakuuliza tena una shea huko Chadema au kwenye hilo gazeti???

  Ni mimi dadaako kutoka Ujiji


  bi Mkora

  CHANZO: Mtandao wa Kwanzajamii.com
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Wakuu,

  for the past few months tumeshuhudia baadhi ya wanasiasa wakiangukia mikononi mwa abuse za kila namna kiasi kwamba inaonekana kuwaathiri hata kisaikolojia.

  Sijui wataalam kuna sheria au taratibu yoyote ya kupoint out political bullying?? Naona kama some bright guys wanaishia kupakaziwa, kuandamwa na kuzushiwa vitu ambavyo havipo na sijui legal boundaries zinasemaje??

  Hata kwenye mada muhimu, tumekuwa tuki-Go personal ...we have lots kind of bullying na sasa naona cyber bullying is killing a few talents; Baadhi ya wahanga ni kama Zitto, Mbowe, JK, Mnyika, Nape, EL, Pinda etc

  Au ndio siasa yenyewe???
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Are we bullying the likes of Zitto?
   
 4. tgeofrey

  tgeofrey JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2010
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 526
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  USHAURI KWA MUHESHIMIWA ZITO KABWE KUTOKA KWA RAFIKI ZAKE WA SHULE NA VYOU WALIVYOSOMA PAMOJA
  Tue, January 12, 2010 12:13:35 AM
  From:Tumaini Temu <tgeofrey@gmail.com>

  View ContactTo:tgeofrey@yahoo.com
  MUHESHIMIWA TUMETOKA MBALI MIMI JAMES MAGENDERA KAMA RAFIKI YAKO WA KARIBU WA SHULE YA KIBOHEHE 1994-1995 MOSHI KILIMANJAROI
  MUHESHIMIWA MIMI NI MARTIN KIWALE TULIKUWA WOTE UNIVERSITY OF ZANZIBAR 98-99
  MUHESHIMIWA MIMI NI TUMAINI GEOFREY TEMU TULIKUWA WOTE CHUO KIKUU DAR ES SALAAM KAMA USRC(UNIVERSITY STUDENT REPRESENTATIVE COUNCIL) MEMBER 99, 00, 01 ,02

  KWA PAMOJA NI WATU AMBAO TUMEJIVUNIA MAFANIKIO YAKO NA HUWA TUNA FARIJIKA SANA NA USHUPAVU WAKO WA KUFANYA KAZI.
  MAFANIKIO HUWA YANA VIKWAZO VINGI HASA INAPOFIKA WAKATI MACHO YA HUSDA YANAZIDI.. TUNAFUATILIA KW A KARIBU HALI HII NA TUMEIINGILIA KATI NA KUWA NA MUAFAKA UFUATAO JUU YA HATIMA YAKO

  ILI UWE JIWE KUU LA MSINGI INABIDI WAASHI WA CHADEMA WAKUKATAE. KWA HIYO TUMEKUNJA NDITA ILI HILO SWALA LITOKEE.

  REST IN PEACE HN CHACHA ZAKAYO WANGWE
   
 5. kinepi_nepi

  kinepi_nepi JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2010
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 870
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kimsingi mambo mengi yanayomkuta Zitto yanatokana na yeye kutokuwa makini na kauli zake na maandishi yake, Zitto hawezi kuchagua maneno, wakati, mahali na hadhira. haya yote ndio yanayomtesa na yataendelea kumtesa sana. Utasulubiwa kwa matamshi, maandishi na matendo yako.

  Zitto ni kati ya wanasiasa wanaotoa lugha tata kila kukicha na hasimami na anachosema leo au jana au juzi. Kwa hali hiyo hata yeye huwa hakumbuki vizuri alichokiandika au sema mpaka critics watoe critics zao +Ve au -ve chochote kinachokuja kwanza.

  Ushauri wa bure kwa Zitto. Kuwa makini sana na kauli zako na maandishi yako popote pale, kumbuka pamoja na kwamba bunge upo na mbumbu wengi wale sio kioo cha watanzania wa sasa, ile sio hali halisi ya ushindani ndani ya Tanzania ya leo. wabunge wanaokuona makini wengi wao akili zao zimechakaa na vidato vidogo, hata maisha na kauli bora hawaezi kuzichuja.

  Zitto kabwe uko kwenye siasa za karne ya 21 ingawa unazungukwana baadhi ya watu wa karne ya 19. sasa jifunze kupambana na watu wa karne ya 21 ambao hugeuza mawe, vyungu, na kuchimba chini juu.Spinning zone.

  Wanasiasa wengi nchi zilizoendelea wanajiuzulu kwa sababu ya kauli au maandishi ambayo wao wanaona yalikuwa ya kawaida, au kukosa kuchaguliwa kwa sababu hiyo.

  Jitahidi kuwa na washauri ambao watachuja mengi kabla hujaandika na kusema.

  Nakutakia kazi njema, na ninakutakia kuwa na uwezo wa hekima na busara zaidi kuliko hasira na kukurupuka.
   
 6. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Umesema ukweli sana. Zitto anaweza kupotea kabisa katika ulingo wa kisaisa na kuachana na maneno yake ya kuchanganya na watu hawa watashindwa kumwamini tena
   
 7. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2010
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Long live JF, nilipotea kwa muda nimerudi. Bado ni Zitto Zitto Zitto???!!!!

  Nafikia hatua naamini Zitto mwenyewe anapenda hii cheap popularity. Nilimsikia juzi juzi TBC, Oooh My God!! Jamaa yangu Zitto akili unayo na upeo unao...haya unayoongea naamini unaongea makusudi kabisaaaaa.
   
 8. tgeofrey

  tgeofrey JF-Expert Member

  #8
  Jan 12, 2010
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 526
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  look like non- sence all u have say it is just full of ukurupaji
   
 9. tgeofrey

  tgeofrey JF-Expert Member

  #9
  Jan 12, 2010
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 526
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usifiche busara zako tunaziitaji sana rafazali zitoe mpaka sasa naona mmbado
   
 10. tgeofrey

  tgeofrey JF-Expert Member

  #10
  Jan 12, 2010
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 526
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tafadhali hamka tumesha badili maana ya nchi zilizo endela na nchi zisizoendela
  nchi zisizoendelea au kufubaa kiuchumi ndiyo inchi bikra
  zilizeendelea ndio hivyo tena si bira na hazina mvuto.

  Re-redefining developed and underdeveloped countries
  tutabananahmhm [​IMG] Today, 10:57 AM
  Universal virtual universirt( found by a 34 yrs tanZanian MAN)
  school of thought department of neo-morden economic

  underdeveloped country- is that one which has a virgin (above 80% resoures of untourched.

  Developed country- are those country whos economy has lose state of its viginity and almmost 80 % of its resoures has been over utilised it is in a state of perish count.depleted


  proud to those virgin nation as they still hold the treasure. And in underdeveloped stage.

  Academia mimi

  asanteni wananchi
   
 11. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #11
  Jan 12, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  kwa mtazamo wangu zitto aendelee kubwabwaja ili tumjue kumzuia mnataka tusimfahamu hivyo tuendelee kumuamini tumpe imani sanjari na madaraka makubwa halafu atuengushe acha tumjue kwa ubungee huu huu
   
 12. tgeofrey

  tgeofrey JF-Expert Member

  #12
  Jan 12, 2010
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 526
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  make sence
   
Loading...