Yaani wewe B...hata sijui nikupe pole, sijui niseme hongera...si unajua hiyo kitu ikiwa tumboni si ugonjwa ehhhh.
Anyway...karibu sana ingawa hamu ya ku-catch up haijaisha!
....eeeehhh! unamaanisha Balantanda has a min these days?Rit. Gen. Ni kweli nimemiss sana kama umemwona gafla basi tufanye logistik
According to Asprin ni kwamba alikuwa maternity leave sijui itakuwa imeisha?
Karibu mama AikaNipe hongera bana, it was a hard work kufikia hapa.
Hiyo hamu hebu ishikilie kwanza
Kwanza inapingana na signature yako, halafu...halafu..halafu......
....eeeehhh! unamaanisha Balantanda has a min these days?
Mpwa hapo tartiiiib sitaki fujo.....:whistle:
Ulifichwa wapi?
Mpwa hapo tartiiiib sitaki fujo.....:whistle:
sema basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii alafu nn?

Nahitaji kupata signature before proceeding further?
hahahah....ni hapo viongozi wa ISC wanapo shikana mashati....
Au Finest hujaukwaa uongozi bado....? :biggrin1:
"BHT karibu...on behalf of IPC unakaribishwa sana kwenye chama chetu!!" :smiling::A S-rose:

Pearl unajua...........nikitulia nitakwambia kila kitu ila nakuachia huu ujumbe ili ufanye tafakari........KUGAWANA NI KUJALI