Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

...if wanting to 'get rich quickly' means stooping so low as to have sex live while your Dad, Mum, brothers, Sisters and the whole World well, I am sorry for You!
 
Bhoke anapenda asipopendwa jamani,sijui itakuwaje akijagundua jamaa lilikuwa lamsema mbovu
 
mi nimetusua watatu toka pande hizo mkubwa,na walikuwa 'wakare' ile mbaya na wana mzuka mwingi!(labda kwavile hawa wa mjini ile kitu hawakati).il kwakuwa umesema 'most of them'...
when the dove cry!!!!!!!!!!!!!!
 
Welcome back home...Ernest is also out, so u might be heading to UG first then here ?!
 
Hii ya kuangalia gender equality inatu cost sana. Wanaume wameshatutoa mara mbili! Na huyu aliyepelekwa kipindi hiki ilikuwa tia maji iende.
 
safi sana.................... sofia simba karibu nyumbani

ulikua unaniboa sana na attitude yako ya choo cha shimo:madgrin:
 
safi sana.................... sofia simba karibu nyumbani

ulikua unaniboa sana na attitude yako ya choo cha shimo:madgrin:

Ni kosa kubwa kumpokea kama celebrity ni muhimu akashuka kwenye ndege akachukua taxi au daladala kwenda nyumbani kwao na wala press msipoteze muda kumhoji huyu ametudhalilisha sana
 
Hii ya kuangalia gender equality inatu cost sana. Wanaume wameshatutoa mara mbili! Na huyu aliyepelekwa kipindi hiki ilikuwa tia maji iende.

Don't worry, with time the issue of gender balance is proving itself wrong that can not apply everywhere. Nawapongeza sana Mwisho Mwampamba na Richard kwa kutuletea heshima kubwa. Wasichana wote wa TZ waliotuwakilisha wamethibitisha wameenda kufanya ufuska. Sana sana wamekwenda kudhihirisha tabia zao chafu hadharani na nashukuru wamethibitisha jamii ya kiafrika haitaki tabia zao na ndio maana wametolewa.
 
washenzi sana tena kama ww bhoke ukibahatika kuingia hapa jf jijue kuwa ww ni mjinga na mabinti wa kikurya huwa awajilegezi kama ww ulivyojilegeza wakakula kitu yako ushenzi mtupu muone na meno yako mabaya
 
5June_Eviction_Graphs_lg_5f4a63e0-a1b9-4d81-b4a1-3f2f6cb8bd43.jpg

Miss P, the Housemate who received the most country votes went back to the Tails House.

Bhoke received two of the country votes, and was therefore Evicted.

Ernest received three of the country votes and was also Evicted.

.How you Voted:
Miss P: 10 country votes - Angola, Botswana, Ethiopia, Ghana, Malawi, Mozambique, Namibia, Nigeria, South Africa and the Rest of Africa.

Ernest: 3 country votes - Kenya, Uganda, Zimbabwe.

Bhoke: 2 country votes - Tanzania and Zambia.
 
Welcome back Bhoke they were all haters and fake! U did ur best and there's still a great life ahead of U
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom