Bhangarh: Kijiji cha ajabu nchini India

Haya Mambo Ya KUAPIZA ukifuatilia Yana Ukweli ndani yake....

Ndio Mana SI VIZURI kuwaapiza WENGINE hata km kweli WAMEKOSEA AMA KUKOSEA......

Kuna Mambo hata mzazi UNAWEZA ukayasema juu ya mtoto na yakajatokea....hutojua kwa sababu hwenda HUTOKUWEPO......
 
Back
Top Bottom