Chikwangara
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 685
- 942
Ipo siku utatoka kwenye hilo wingu linalokufanya usione mbeleHuyu jamaa Azizi Mussa hajielewi, na hata haelewi anasimamia Nini.
Yeye posts zake ni za mapambio na kumsifu mwenyekiti wao. Nashauri apuuzwe!
Soma kwanza ndio uchangie, inawezekana ulichofanya ni sehemu ya tatizo linalozungumziwa kwenye mada ya msingi
Rudia tena kusoma! Ama itakuwa hujasoma, ama umesoma lakini hukuelewa. Rudia Mara mbili, kama hutaelewa bado ndio nifafanue zaidi.Azizi mbona kama sikuelewi, bandiko lako limelalia kwamba wanaoshabikia cdm na ccm ndio tatizo la nchi hii. Hebu tuambie maendeleo yaliyoletwa na hao wasiokuwa mashabiki wa hivyo vyama kiasi kwamba wanaoshabikia hivyo vyama wawaige hao.
Toa solution sasa tutafikaje tunakotaka kwenda icje ikawa ndo wale wale unatutaka tubadilike halafu we ubadiliki
Rudia tena kusoma! Ama itakuwa hujasoma, ama umesoma lakini hukuelewa. Rudia Mara mbili, kama hutaelewa bado ndio nifafanue zaidi.
Mfano wapi sina suluhu? Mbona mada hii inaelekeza chakufanya wazi wazi kabisa? Ni nini ambacho ninyi kinawapa tabu hapa? Au mnachopinga ni nini? Au wazo lenu mbadala ni lipi? Mnataka solution ya nini hasa ambayo sijaitoa?Huyu jamaa fuatilia mabandiko yake mengi huwa hana suluhu ya mambo anayoongea. Ukimwambia atoe solution anasema wewe fanya lolote tu!! Ni kama mtu aliyeishi kwenye dini na kuwa mwenye imani kali ya dini hiyo, sasa anakuwa kama anaona maruweruwe hivi kwa kuongea mambo yenye hisia fulani zisizo na suluhu.
Mkuu kwa muhutasi ninachosema; tuache tabia ya wafuasi wa vyama kujibizana kama taarabu na tuwe wabunifu kuona ni namna gani kila chama kinaweza kutatua Matatizo sugu kama ajira kwa vijana. Kuhusu ni nini cha kufanya kwa hilo LA ajira kwa vijana nishasema Mara nyingi tu na hakuna aliekuja na wazo mbadala!Mkuu haya maandiko yako huwa nayafafanisha na zile hadithi za kusomea majini yaingie kwenye chupa. Inabidi uwe na mtazamo fulani wa kiimani kukuelewa. Simply huna solution ya lolote zaidi ya kuleta post zenye hisia kali. Kama sikosoi unasoma sana vitabu vya meditation. Hizo hisia zako hazifanyi kazi kwenye ulimwengu huu wetu.
Mfano wapi sina suluhu? Mbona mada hii inaelekeza chakufanya wazi wazi kabisa? Ni nini ambacho ninyi kinawapa tabu hapa? Au mnachopinga ni nini? Au wazo lenu mbadala ni lipi? Mnataka solution ya nini hasa ambayo sijaitoa?
Kwa kweli ni ngumu sana kufanikiwa kama ambavyo maendeleo ya Afrika yamekuwa magumu. Ni vigumu kama Ambavyo chadema mmeshauriwa Mara nyingi mjenge angalau ofisi ya makao makuu bila mafanikioAzizi achana na hivyo vitabu unavyosoma vya elimu ya nje ya ubinadamu wa kawaida. Tupe suluhisho la maisha ya kawaida ambayo mtu akitumia anafanikiwa.
Basi tutajie taasisi yoyote ambayo umepeleka hizi njozi zako zikaleta mafanikio. Sana sana unaishi na ndoto za ajabu ambazo unadhani ukizipeleka mahali na watu wakazifuata watafanikiwa.
Mfumo wa siasa kwenye eneo gani hasa maana dhana hiyo ni pana. Yaani mfano tuachane na democracy tuende kwenye monarchy ? Au aristocracy ? Au?Mkuu Aziz, Kwa mtazamo wako unadhani hii nchi inaweza kubadilika bila kubadili mfumo wetu wa siasa?
Year upo sahihi, nafikiri pia kama nitapima itapendeza.Nenda kapate ushauri nasaha.
Year upo sahihi, nafikiri pia kama nitapima itapendeza.
Wewe Mara nyingi umekuwa na proposal za wakulima kupatiwa mikopo na kutafutiwa masoko, ushafanikiwa ? Au tuongozane tukapime?
Bado hatujajua tunataka nini.
tindo anasema Hamna cha kufanya na tukipendekeza cha kufanya anasema tunaingiza majini kwenye chupa. Halafu hivi kwa nini tunawaza sana uchawi?Tanzania ni Taifa linalosikitisha sana...leo hii watanzania wengi wanategemea habari za nchi yao kutoka kwa Mange anaeishi Marekani.!....
Azizi achana na hivyo vitabu unavyosoma vya elimu ya nje ya ubinadamu wa kawaida. .
nani kakudanganya pesa zinaleta maendeleo?.....mipango madhubuti, uthubutu, elimu, kujituma ndio chachu ya maendeleo......hata kabla ya pesa hazijagunduliwa watu walikuwa na maendeleoMimi kama mimi kilimo kinaniwezesha kuishi maisha ya wastani na kupeleka watoto wangu shule, hapa nilipo nina akiba ya kutosha bank kutokana na kilimo. Ila ninataka wakulima wengi wakwamuliwe, tatizo naona ni wao kuwezeshwa kwa kupewa mikopo na mambo ya masoko, kwani kilimo hakipewi kipaombele na watunga sera. Mimi sipo kwenye kilimo cha kusubiri mvua kwani nilishapata mtaji toka kwenye ajira niliyoamua kuiacha. Lakini ningependa nifanye kilimo kikubwa cha kuuza kimataifa hapo ndio ninapokwama pindi ninapotaka mtaji mkubwa wa kuendana na wazo langu. Sasa wewe ndugu yangu nikukuambia bila pesa huwezi kufanya lolote la maana, wewe unasema sio kila kitu kinahitaji hela!! Ili taifa liweze kusonga mbele inahitajika mipango mizuri na itafanikishwa kwa hela, hao unaowaona wakibishana hapa hawatokaa waondoke hata kama maendeleo yapatikane kwani ni sawa na kusema maendeleo yakipatikana basi Simba na Yanga zitaondoka.
Halafu kwenye mada yako, hawa wanaobishana hapa ambao ni cdm na ccm wengi wao wako mijini na wanaulewa wa mambo. Wana nafuu ya kimaisha kwa mantiki ya kuweza kulipa kodi ya nyumba na kumudu gharama fulani za mahitaji ya lazima. Hao ambao hawabishani na wengi wao wako kijijini hali zao ndio choka mbaya. Kwa hiyo siyo kweli kwamba maendeleo ya nchi hii yanakwamisha kwa haya malumbano ya cdm na ccm. Kama una wazo lenye tija la kuweza kuifanya nchi iendelee lilete lifanyiwe kazi na wala haliwezi kuondoa ushabiki uliopo.