dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,527
Kwanini hutaki kuamini kuwa Magu ndio anatakiwa kutoka ofisiniOfisi ya Ag kuna shida wapo wa kutimuliwa tena mapema lakini waliachwa. Rais Magufuli muda umefika wa kuisafisha hiyo ofisi. No wonder ati wamejazana mawakili 16 mahakaman wkt wangekua wawili wangetosha haya ni matumizi mabaya ya rasilimali zetu. Kitengo ch mikataba cha kufunua na wale walio liingizia taifa hasara kwa kusain mikataba butu wafikishwe mahakaman wafilisiwe na nashauri ifanyike diplomatic meeting kati ya sisi na saouh africa tuikomboe ndege yetu ya serikali.