Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
[h=3]BEYONCE ATUMIA MAFUTA YA ALMASI.[/h]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Beyonce Knowles.[/TD]
[TD="class: tr-caption"][/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]

[TD="class: tr-caption"]Mafuta ya Almasi.[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
NEW YORK, MAREKANI : KAMA unajiuliza nini kinacho n'garisha ngozi ya
mwanamuziki Beyonce Knowles, basi jua ni mafuta ya yaliyo changanywa na
unga wa almasi yaitwayo " Natura Bisse Diamond '. Mwanamuziki huyo
anasema hutumia kipodozi hicho kilichomo kwenye chupa anayo itumia kwa
siku moja. Chupa hiyo huuzwa dola 85 za Marekani. Beyonce anasema
alionyeshwa mafuta hayo na rafiki zake lakini anashukuru yanaifanya ngozi yake in'gae muda wote.
" Mimi si mtu ninaye fuatilia sana mambo ya vipodozi, rafiki zangu walinishauri nikitafute kipodozi hiki, nashukuru ngozi inaendelea kuwa na nuru". Alisema Beyonce.
CHANZO: Gazeti la MWANASPOTI

[/TD][/TR]