Wameshaandaa future hao ,bongo ukizaa umri huo unazaa yatimaWale mnaosema inabidi uwahi kuoa na kupata mtoto, hili la J kupata mtoto akiwa na miaka 47 mnasemaje?
Kama unategemea watoto kama non current asset wahini kuoa na kupata watoto. Mengi kazaa watoto ana miaka zaidi ya 70.
Bora hawa mastaa wakubwa wanapata watoto kwenye ndoa zao lkn njoo Bongo bahat mbaya wanaweza kuigiza mambo mabaya kutoka mamtoni
check hata jay z anavyonyoa fresh tu kiheshima na anavaa vizuri ukija bongo kuna msanii mara kaotesha kimchicha kichwani!