Beware when having SEX!

nipo tu Erry, mzee kanikamata sana.

So nahitaji kujiandaa ipasavyo.


akikukamata sana ahakikishe anakuwezesha vote. usipotee sana dear.

hawa watoto pachaz wanapenda kusikia sauti yako matata. mwaaaaah.
 
Erotica baby, nimecheka mno.................. maongezi tunayoyafanyaga chumbani kumbe hayafai........... tunadhani watoto wapo busy na Ben10 kumbe masikio yapo rum


hapo chacha. kama kuta ninyepesi hakikisheni hata vilio visiwepo kabisa.

watoto wanaweza mchukia baba yao kumtesa mamayao. teh teh teh.

cheka ufurahi mamito. maisha haya mafupi na zengwe kibao.
 
Last edited by a moderator:
usijipime na Errotica hata kidogo.

Kufikiria tu, kunatosha kukuvunja mgongo, na wajukuu bado wanakuhitaji.

Mie nilicheka hadi basi.

Hahahahahahahahah....wewe Kongosho acha utani ndugu yangu!!

Najipenda mie bwana...siwezi kamatwa kirahisi namna hiyo tena nikijua kuwa uwezekano wa kurudi nikiwa nafaidi oxygen ni mdogo sana!!

Babu DC!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…