Between your legs - PART TWO




Sijawahi kusikia Tanzania watu Wanachukia TV ama Internet, labda itakuwa ni kipindi ambacho sikuzaliwa, kwa Somalia sishangai wakikataza vitu hivyo sababu wao wamejiundia tamaduni na sheria zao ambazo ni tofauti kabisa na mataifa mengine yenye wafuasi wengi wa kikristo, sababu mfano katika nyingi wa nchi za kiarabu kwao kitu chochote kutoka Magharibi ni ni kibaya ama haramu. Halafu huwezi kulinganisha Jiwe la Bismack ambalo ni kazi ya mikono ya MUNGU ukalinganisha na hilo jimama ambalo watu walikaa wakakubaliana kwamba tuiweke sanamu hii ndani ya bahari. lakini hebu kaa ujiulize kwanini waliamua kutengeneza sanamu kubwa namna hiyo kwa nini wasingetengeneza ndogo?. sanamu kama hilo ukiambiwa gharama yake unaweza kukimbia lakini kwanini watu au mtu awekeze pesa yake kwa kitu kisichokuwa na maana? Baada ya kuiangalia pia niligundua kwamba sanamu hiyo si ya kiume bali ni ya kike. Lengo lao ni nini?


 
Ni mapambo tu mjini na kuvutia watalii. Ni sawa tu na wewe ukiweka mapambo nyumbani kwako ila wenzetu huwawanajifikia kwa msemo MIMI na SISI wakati sisi tuna MIMI tu. Huko miji inashindana vibaya sana kuwa kivutio kwa watalii na hata watu kutoka miji mingine.

Kwanza siyo kubwa kihivyo, ni mita nne tu na ushee. Kwani hizi sanamu zinafanya jambo lolote la maana duniani? Na ukilinganisha na hiyo, mbona ni cha mtoto?




 
Kweli Mwanamke ni Mwanamke tu. Keshaona kuwa huyo si NYOKA ila Mkonga wa tembo 🙂

Thanks Preta kwa masahihisho. Let me say " Masahihisho - bweteen her Legs."
Sikonge bana......that is mkonga wa tembo.....between his legs
 
Kweli Mwanamke ni Mwanamke tu. Keshaona kuwa huyo si NYOKA ila Mkonga wa tembo 🙂

Thanks Preta kwa masahihisho. Let me say " Masahihisho - bweteen her Legs."

yaaah.....huwa tuko makini sana na vitu ambavyo vipo......between your legs
 
Will be there when I am on my way home
 

Mji wangu pendwa . asante mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…