Betting addiction ni mbaya sana

Betting addiction ni mbaya sana

Mkuu unabetia kampuni gani?
Nikitaka mkeka wa mechi zangu ninazochagua huwa natumia Bikosports
Nikitaka kuweka mkeka wa jackpot huwa natumia M-bet
Nikitaka kucheza livescore huwa natumia Betpawa
Lakini pia nikitaka kucheza Tennis na Basketball huwa natumia pia Betpawa
 
Sasa hilo la starehe ni la mtu binafsi, maana hata akiipata hela hiyo kwa njia nyingine (biashara, malipo, zawadi etc), ataitumia kwa starehe pia. Hilo ni tatizo la nidhamu ya matumizi ya fedha, sio tatizo la betting
Sahihi kabisa lakini asikudanganye mtu pesa tamu, ukitaka kujua kosa pesa.
 
Back
Top Bottom