Rjohn JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 613 Reaction score 130 Nov 13, 2015 #1 Habari wakuu, ninasimu tajwa hapo juu, tatizo betri yake kimeo ila naikubali sana nipo tabora, nimetafuta betri yake tabora nzima madukani sijaipata kama kuna mtu anafahamu maduka yawapi zinapatikana tofauti na tabora naomba kujuzwa, ahsante
Habari wakuu, ninasimu tajwa hapo juu, tatizo betri yake kimeo ila naikubali sana nipo tabora, nimetafuta betri yake tabora nzima madukani sijaipata kama kuna mtu anafahamu maduka yawapi zinapatikana tofauti na tabora naomba kujuzwa, ahsante
Ficus JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 1,438 Reaction score 1,124 Nov 13, 2015 #2 Sijawahi sikia simu ya aina hiyo! Ngoja waje wengine pengine wanaijua.
Rjohn JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 613 Reaction score 130 Nov 13, 2015 Thread starter #3 Labda mistake imeandikwa son ericson ndogo hivi
Troll JF Platinum Member Joined Feb 6, 2015 Posts 10,350 Reaction score 15,123 Nov 13, 2015 #4 Kumbe jamii forums inafika hadi Tabora!
Real One JF-Expert Member Joined Jun 26, 2014 Posts 2,158 Reaction score 1,881 Nov 13, 2015 #5 SONY ERICSSON XPERIA X8 nadhani ulimaanisha hivyo, Ni smartphone ya kitambo kidogo nahisi betri zake zitakuwa nadra sana
SONY ERICSSON XPERIA X8 nadhani ulimaanisha hivyo, Ni smartphone ya kitambo kidogo nahisi betri zake zitakuwa nadra sana
Rjohn JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 613 Reaction score 130 Nov 13, 2015 Thread starter #6 Aaaaah boss vp kwan tabora vijijini sana eeeh? Acha mkuu hizo mambo nipen huo msaaada
Troll JF Platinum Member Joined Feb 6, 2015 Posts 10,350 Reaction score 15,123 Nov 13, 2015 #7 Sasa uko Miogoni, Chem chem, Ng'ambu,Kiloleni,Isevya,Uzunguni, ipuli ,Kariakoo,National au cheyo?
Rjohn JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 613 Reaction score 130 Nov 13, 2015 Thread starter #8 Beyi said: SONY ERICSSON XPERIA X8 nadhani ulimaanisha hivyo, Ni smartphone ya kitambo kidogo nahisi betri zake zitakuwa nadra sana Click to expand... exactly
Beyi said: SONY ERICSSON XPERIA X8 nadhani ulimaanisha hivyo, Ni smartphone ya kitambo kidogo nahisi betri zake zitakuwa nadra sana Click to expand... exactly
Rjohn JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 613 Reaction score 130 Nov 13, 2015 Thread starter #9 Allen Snr said: Sasa uko Miogoni, Chem chem, Ng'ambu,Kiloleni,Isevya,Uzunguni, ipuli ,Kariakoo,National au cheyo? Click to expand... ng'ambu/sikonge road
Allen Snr said: Sasa uko Miogoni, Chem chem, Ng'ambu,Kiloleni,Isevya,Uzunguni, ipuli ,Kariakoo,National au cheyo? Click to expand... ng'ambu/sikonge road