Betri ya tecno F1 inakaa muda gani?

Betri ya tecno F1 inakaa muda gani?

Superpower

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2018
Posts
826
Reaction score
921
Msaada jamani naomba kuuliza battery la tecno f1 linakaa na charge kwa muda gani na ni bei gani? Maana naona battery langu Linakaa masaa mawili na nusu kutoka manne niliyozoea
 
Huo ni muda sahihi kabisa. Nilinunuaga hiyo cm mpya kabisa nikachaji ikawa full, kisha nikaanza kubeti live kuanzia saa 14:30, ilipofika saa kumi na mbili jioni ilizima kabisa.
 
Msaada jamani naomba kuuliza battery la tecno f1 linakaa na charge kwa muda gani na ni bei gani? Maana naona battery langu Linakaa masaa mawili na nusu kutoka manne niliyozoea
Njoo nikupe camon 16s betri yake 5000Mah.. inakaa na chaji masaa 16 with data on.. 4G speed nakupa na 300mb free every day

njoo na dola 135 za kimarekani
Screenshot_20210813-114130.png
 
Back
Top Bottom