Bestfriend wa my Papa Bear anani approach

Bestfriend wa my Papa Bear anani approach

Proffesionally...usiseme wala usijitingishe...kuwa mfanyabiashara..kiunzi cha kwanza mpe dau kubwa
Akiruka ruka nae ..tauu hapa!
Penzi na moyo wako uache kwa papa Bear...
.....kama Mamelody na Young African!
 
Kwa kiswahili ina maana gani
We nae haya ndio matatizo ya kutokuangalia katuni utotoni. Tena hata TBC1 walikuwa wanaweka hiyo katuni. Kuna familia ya dubu, kuna papa bear [emoji199],Mama bear [emoji199] na watoto wao wawili.

Ni majina ya katuni tu hayo. So yeye anamwita mtu wake Papa bear sababu si ndio dingilai.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom