Simpleboylife
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 659
- 1,305
Aisee
buyo hana nia njema na wewe anataka akukule na akutelekeze ili kumkomesha mwambie mumeo,maana huyo sio rafiki yakeBestfriend wa my Papa Bear anani approach , what should i do guys ?
Nimwambie Papa Bear wangu or nisimwambie?
Nimemkataa lakini hataki kukubali ananiambia am just wasting my time kwa Papa Bear coz yeye anachepuka na kanionesha hadi picha zake.
Am hurting like foreal foreal.
Bestfriend wa my Papa Bear anani approach , what should i do guys ?
Nimwambie Papa Bear wangu or nisimwambie?
Nimemkataa lakini hataki kukubali ananiambia am just wasting my time kwa Papa Bear coz yeye anachepuka na kanionesha hadi picha zake.
Am hurting like foreal foreal.
Kabisa mnamshabikia jamaa Kwa alichofanya! Hivi ugundue best friend wako anakufanyia hivyo itakuwa je?Sasa kama umeonyeshwa ushahidi kuwa papa bear anapiga kazi za nje, why unamnyima rafikiyake Papa bear?
Mamy bea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂 na nyie kama hamna taklo tunawaita nyoka, ngoma drooComred kipepe
Na wewe chepuka. Una kibania ili iweje sasa ?!Bestfriend wa my Papa Bear anani approach , what should i do guys ?
Nimwambie Papa Bear wangu or nisimwambie?
Nimemkataa lakini hataki kukubali ananiambia am just wasting my time kwa Papa Bear coz yeye anachepuka na kanionesha hadi picha zake.
Am hurting like foreal foreal.
Hiyo huwezi elewa. Unaona yale mamidoli ya dubu yanaitwa Teddy bear, basi feeling yake anakuona kama lile limdoli namna anavyolitumia kupata usingizi.Mbona halipo romantic, uniite papa bea alafu nishawishike kutoa minoti?
Nmekumbuka kwanza minoti yenyewe sina [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi kulikuwa na ulazima wa kumkata wenge mwenzako kiasi hicho au?Sasa hela huna utaitwaje papa bear aseee
😂 ila hawa viumbeHiyo huwezi elewa. Unaona yale mamidoli ya dubu yanaitwa Teddy bear, basi feeling yake anakuona kama lile limdoli namna anavyolitumia kupata usingizi.
😂😂😂Wanaume siku mkijua majina mnayoitwa sidhan km hizo hela mtatoa