Best & Worst Laptop Brands 2014

Best & Worst Laptop Brands 2014

It's funny that Apple keyboards have the same score as Lenovo keyboards, and how on earth do they have the best score in audio... I wish people just stopped making apple like the benchmark of all tech...

Ndugu keyboard ya IBM umeisahahu? nadhani ndipo Lenovo walipo rithi.
 
Haha inachekesha upande WA software anaongoza apple na wanaomfatia point zao zinatofautiana wakati wote wanaeka windows. Au sku hizi kuna windows ya Lenovo na ya dell.

Hapo kwenye review na tech support panahitaji maelezo zaidi.

Reviews (20 points)

For this category, we examined reviews from January 2013 through January 2014, and it is weighted heavily to reflect the average star ratings and performance scores from a given company's notebooks. Extra points are offered for Editors' Choice Award-winning machines.
Tech Support (20 points)

If a company doesn't believe in its own products enough to help the average Joe with common issues, then the company isn't worth your time. That's why this category, based on our annual Tech Support Showdown, is worth a hefty 20 percent of a brand's overall grade.
 
Shida ya wazungu wanatengeneza bidhaa kwa madaraja, utaona hizi ni grade a, b, c, d, mara hizi build for africa. Ukiangalia hapa bongo dell vimeo, ila dell za u.s bana daaaaah utakataa. Mie nshawashtukia. Apple zinaonekana bora maana ndio izo izo ambazo wanatumia u.s na sisi,tunazitumia. Ila hawa wengine wanatuzingua tu

Dell kimeo ipi?
Usitegemeee kununu Inspiral ya kina mama yakufanyia Shopping akiwa jikoni ukafananisha Latitude mashine ya kazi.
 
Dell kimeo ipi?
Usitegemeee kununu Inspiral ya kina mama yakufanyia Shopping akiwa jikoni ukafananisha Latitude mashine ya kazi.

Latitude is a business class laptop, competing with ThinkPad and HP Elitebook, and they are(or used to be because they have budget versions nowadays) freaking expensive, I think jamaa was referring to mainstream dell laptops that are in bongo.
I agree na mkuu juu kuwa almost all manufactures wana mid-tier/budget laptops for developing markets, something Apple don't. But if we put top of line laptops from each manufacturer I believe the Apple would have not been at the top(overall) on any rankings.
 
Apple wanaweza wasiwe wazuri kivile lakini jamaa wanajua kulinda na ku maintain ubora wao bila kuwa na madaraja...si kwa simu tu hadi kompyuta

Makampuni mengine yanatengeneza pc na smartphone kulingana na madaraja kukidhi mahitaji ya wateja wa chini na juu
Apple wakitoa kitu hakuna mambo ya madaraja
kwa mara ya kwanza ndio wametoa iphone 5c lakini mwanzo ilikuwa ni flagship mwanzo mwisho

Unapoanza kufanya comparison inabidi uanze kuchagua bidhaa za wengine kuwa mwaka huu dell katoa sijui hii na ile wakati Apple wakifyatua wamemaliza

Jambo lingine ni kwamba USA wanajua sana kulinda na kufagilia vyao kwa kuleta ile uniqueness, hapa sasa inaonekana ni kama windows kwenye pc zote vs Apple na os yao
 
Kuna trick moja waandishi WA habari WA marekani wanatumia kuwapendelea apple/google nayo ni kueka standard kwa ajili ya kuwafanya waonekane wawe juu.

Baada ya kuifafanua vizuri hio thread yako kuna mambo mawili matatu nimeyaona.

Kitu ambacho apple wapo vizuri basi kinapewa point nyingi zaidi na amabacho wapo vibaya hakipewi point nyingi
Mfano review haikuwa na haja ya kuekwa hapo sababu watu wanareview software, audio, keyboard, ni repitition kuieka lakini wao wameieka tena wakaipa alama 20, tech support nayo ambayo apple wapo vizuri pia imepewa alama 20.

Lakini vitu ambavyo apple wapo vibaya kama selection na innovation vimepewa alama 5 na 10. Kwa style hii tutaendelea kuwa brainwashed.
 
Latitude is a business class laptop, competing with ThinkPad and HP Elitebook, and they are(or used to be because they have budget versions nowadays) freaking expensive, I think jamaa was referring to mainstream dell laptops that are in bongo.
I agree na mkuu juu kuwa almost all manufactures wana mid-tier/budget laptops for developing markets, something Apple don't. But if we put top of line laptops from each manufacturer I believe the Apple would have not been at the top(overall) on any rankings.

This is a true fact
 
Ok pamoja na hizo short coming zote, so wadau mna mshauri nn mtanzaina wa saiz anaetaka kununua laptop
Je anunue za hapa hapa Tz izo za laki nane na Je ata kaMa niyakutoka nje anunue laptop gani nzuri kwa matumizi yake kwa ujumla niki maanisha kielimu, biashara na mengineyo

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kaka nakushushia Uzi wako peke yako kwa ajili ya hii!

Nimefatilia sana ASUS Ultrabooks za 15" ila sijaweza ona yenye HDD at the same time SSD...
Nilikua natafuta yenye thamani average 800$...je kuna unayoijua yenye SSD maana nimesikia zikiwa na SSD+ HDD storage na perfomance inakua juu keeping constant other factors e.gRAM na processor type and speed
 
Back
Top Bottom