Best web hosting service

Best web hosting service

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,189
Reaction score
6,248
Habari zenu wakuu, naomba kujuulishwa web hosting company ya ukweli,mana nimecheki reviews za hostgator na godaddy pamoja na blue host zinatisha kweli kweli mpaka hujui uamini kipi. Mwenye experience anisaidie kidogo
 
Hosting wapo wengi kila mmoja ana ubora na udhaifu wake. Huwezi kupata aliyekamilika kila sekta kwa asilimia 100. Uchaguzi wako unategemea na mahitaji yako na bajeti yako. Kwa uzoefu wangu hosting provider wengi huwa ni reseller ni vyema ukapata kwa yule original host. Pia hosting wanaotumia cPanel kwa mtazamo wangu huwa hawana ulinzi ukilinganisha na wasiotumia cPanel.

Kwa sasa mimi natumia DreamHost na sina tatizo lolote lile nafurahia huduma.
 
Nimekusoma mkuu, naona dreamhost price zao si mchezo, ni double ya izo Hosts 2 nlozitaja apo juu. Mi sio mtaalamu wa web developing lakini nina kawebsite kangu nimekitengeza apa sasa ndo nataka kukipublish.
 
cheap hosting na yenye kuaminika so far niliyoiona ni smarterasp, pia hao uliowataja yaani hostgator, godaddy na bluehost pia sio wabaya.

hizi hosting ni nzuri kama una site yenye visitors wachache, mfano chini ya 50,000 kwa mwezi. unapokua na website yenye visitors wengi kama hv jf inabidi na budget nayo ipande ununue hosting ya uhakika yenye speed.
 
Nimekusoma mkuu, naona dreamhost price zao si mchezo, ni double ya izo Hosts 2 nlozitaja apo juu. Mi sio mtaalamu wa web developing lakini nina kawebsite kangu nimekitengeza apa sasa ndo nataka kukipublish.

DreamHost wapo juu lakini mimi nimelipia $19.20 ~ TZS 30,000 kwa mwaka kupitia CNET offer.
 
Kaka mimi ni Blogger na nimepata advice mengi sana kutoka na marafiki wangu wa internet nimepewa advice kwamba Hostgator ni Nzuri Zaidi Kuliko zote CLICK HAPA kujoin hostgator na unapata discount pia 🙂
 
Hapa kila mtu anavutia upande wake tu!
Labda wakuu tuongelee kuhusu ulinzi, hosts zipi zipo vizuri?
 
I think it all comes down to what you need to host. If its just a basic website (wordpress/joomla/ etc etc or those php sites that don't need much configurations) then you can just go with the above mentioned companies (bluehost/hostmonster etc). However if you are creating a web application then you can check with heroku/linode/mediatemple etc because these let you configure your server/you get shell access and they are scalable. Choice is yours.
 
Hosting wapo wengi kila mmoja ana ubora na udhaifu wake. Huwezi kupata aliyekamilika kila sekta. Uchaguzi wako unategemea na mahitaji yako na bajeti yako. ila ni vizuri unafanye hosting direct kwa provider. lakini kama webiste ya kawada mm natumia SOFTNET SOLUTIONS LTD wako vizuri
 
vipi mkuu naomba ufafanuzi kuhusu hao Softnet solution ltd.
 
Mi situmii host yoyote zaidi ya Amazon Web Service, namba moja dunia nzima, sema kila kitu unafanya mwenyewe, hakuna kupost php code then ukae tu site iruke hewani, unapewa machine then ujiongeze mwenyewe, setup server unavyojua.
 
Kaka mimi ni Blogger na nimepata advice mengi sana kutoka na marafiki wangu wa internet nimepewa advice kwamba Hostgator ni Nzuri Zaidi Kuliko zote CLICK HAPA kujoin hostgator na unapata discount pia 🙂
unajipa promo ili upate percent
 
Mimi naona hostgator na blue host wako vizuri.
Bluehost ansumbua kwa website za Kitanzania. Yaani .ac.tz, .or.tz, .co.tz

Hosting Company ipi inaweza ku host websites za namna hii bila usumbufu?
 
Hosting wapo wengi kila mmoja ana ubora na udhaifu wake. Huwezi kupata aliyekamilika kila sekta kwa asilimia 100. Uchaguzi wako unategemea na mahitaji yako na bajeti yako. Kwa uzoefu wangu hosting provider wengi huwa ni reseller ni vyema ukapata kwa yule original host. Pia hosting wanaotumia cPanel kwa mtazamo wangu huwa hawana ulinzi ukilinganisha na wasiotumia cPanel.

Kwa sasa mimi natumia DreamHost na sina tatizo lolote lile nafurahia huduma.
Hao DreamHost hawasumbui kwa hizi website za kibongo zenye .ac.tz, .co.tz na .or.tz ? Bluehost hawazikubali hizi
 
Mi situmii host yoyote zaidi ya Amazon Web Service, namba moja dunia nzima, sema kila kitu unafanya mwenyewe, hakuna kupost php code then ukae tu site iruke hewani, unapewa machine then ujiongeze mwenyewe, setup server unavyojua.
Huwa natamani sana kuwatumia hawa jama (AWS) ila nashindwa pakuanzia nitakutafuta mkuu labda unaweza kunisaidia kitu.
 
SiteGround wana reputation nzuri sana. Matatizo wengi ya hosting yanatokana na unrealistic expectations za mteja.
 
Back
Top Bottom