Best Universities in Tanzania (2016)

Uko sawa kabisa ifike mahali tubadilike kutokana na wakati tuliopo hatuwezi kufikia viwango vya kimataifa kwa mwendo huu wa upambe inatakiwa hata tunapopima ubora wa vyuo vyetu tuupime kupitia tafiti zinazoleta tija (positive impact) kwa jamii na taifa na ulimwengu sio tafiti zinazowekwa kwenye makabati wenzetu walifanikiwa kwa njia hii . Sisi tumekalia ushamba wa kuponda tu bila kuchukua hatua stahili tukijiuliza hata hivyo vyuo ambavyo viko kwenye rank za juu za bongo vimeleta positive impact kwa jamii ya kitanzania kutokana na tafiti zao sidhani kama kuna majibu pia vyuo ni kitovu cha ubunifu ifike mahali tuwe na inter universities creativity competition s katika fani mbalimbali kuchochea upatikanaji wa wabunifu kitu ambacho kinaweza kusaidia kuinua position yetu kwenye rank za kimataifa
 
Sikubaliana na UDSM kuw cha kwanza.. UD si ndio hiki mtu kasoma hadi phd ila hajui english?
Bongo tuna maprof wengi vilaza tu wapo wengi na PHD lakini hata kujieleza kwa kiingereza hawawezi huu ni ukweli usiopingika sioni cha ajabu kwa watu wenzetu PHD za bongo hapa
 
Wap dodoma
 
Source ni websites ambazo km huziamini unagoogle na kuleta unachokiamini siyo kubishi kisa chuo ulichosoma kipo namba ya mwisho.
Sifa znazotumika ku-rank vyuo pia zinapatikana ktk mitandao so ukiwa na wasiwasi unacheck ili kupunguza ignorance
 
Udsm sasa hivi ni chuo cha kishenzi sana tafauti na zamani, kama mtu umesoma udsm na uko vizuri ni uwezo wako binafsi tu may be uliotoka nao advance na juhudi zako binafsi. Ukisema kwamba udsm kunashule umefanya utafiti na kwenda vyuo vingine au just unasema ilitujue umesoma udsm ..umeenda SUA , ARDHI. SAUTI. UMEENDA MUHIMBILI..JUST THINK... USILOPOKE. BEST STUDENTS ARE AVAILABLE FROM DIFFERENT UNIVERSITIES. NA KAMA KUNACHUO AMBACHO KIMEZALIZA WATU AMBAO WANAAKILI AMBAYO NI CREATIVE KULIKO WENZAO BASI WANYOSHE MIKONO. WOTE VIRAZA TUPO MTAANI TUNASUBILI MAGUFULI ATOE AJILA AU TUNALILIA NA PRIVATE INSTITUTIONS.
 
Interview is no competent if you spend all the time learning on how to win interview but overview performance of teacher is under quality .... So what possible is that ....
 
sema upo mtaani unasubir ajira...mimi nina rafik angu kamaliza baed UDSM mwaka jana amejiajiri yupo mkoani Iringa anafanya biashara ya kutembeza nguo mtaani na maisha yanaenda pia kuna mhadhir yupo chuo MUCE yeye alimaliza Bsc.Chemistry UDSM pia kabla hajaenda kuomba kaz na akiwa anasubir kuajiriwa mwaka alomaliza alikuwa anatembeza vyombo mtaani akitoa katika kampuni moja,yey alikuwa kam kaajiriwa na alikuwa akipata faida na badae ndipo akapata permanent employment sehemu nyingne.hivyo akili ya mtu hailetwi na mtu mwngne bali yeye mwenyew....sema kitu nachokubali kwa UDSM wanafundisha ujasiri wanakufanya uwe mwenye kujiamini na kuwa competent iko ivo.
 
nadh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…