Best Universities in Tanzania (2016)

hakika chuo kikuu huria siyo mchezo ni kma ulivyo ubora wa yai la kuku wa kienyeji kwani husoma kwa kujitafutia na tofauti na other conventional Universities ambao mara nyingi wanafunzi hutafutiwa na kubebwabebwa(kuku wa kisasa)
 
Nami nimesoma OUT hakika wako juu sana.
Mimi nina shahada ya UDSM na OUT pia, so anaebaki kuimba wimbo wa UDSM unreasonably nabaki kushangaa, au anaebeza OUT unreasonably pia simuelewi. So kwangu mimi bila mtu kuja na vigezo vinavyoeleweka nitamwambia bado anaishi the past wakati dunia imehama
 
Kigezo ni website ndugu na wala sio academic excellence.
 
Kwa KIU I'm not certain ,ila kwa KAIRUKI it's possible .
I'm there mkuu,usibishe
kairuki ipi mkuu?
KCMC ipo juu kuliko KAIRUKI,ikitoka muhas inafuatia KCMC then CUHAS.
KAIRUKI ipo level za IMTU,SFCHAS,ST JOSEPH
 
Jamani nauliza hivi dsm kuna chuo kikuu chochote ukiacha udsm kinachotoa degree kwa masomo ya jioni?
 
Kwani mimi nimesema hiyo ni ranking ya nini? Dogo, mimi hayo mambo ya rankings nayaelewa kuliko unavyowaza, nina kiburi juu yake kiasi kwamba siwezi kusoma chuo ambacho academic ranking yake worldwide ni above100 na nimefanikiwa ndoto zangu.
OK, ongera Sana.
 
Mbona institute of adult Education na institute of social work sikioni huo utafiti feki.
 
Unaweza kuwa sawa kama utataja vigezo ulivyo tumia kupanga hivyo vyuo......mfano Muhimbili unafananisha na mzumbe au UDSM?.naona ni sawa kufananisha HKL NA PCB nani ana mwandiko wa kulemba au nani anaweza kuandika Insha mzuri......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…