tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,535
- 1,484
ni kweli , muccobs wako vizuriMmh. Wametumia vigezo gan mtoa mada?? Kama ni elimu itolewayo ktk vyuo..naamini OUT lazima ni no 3. Pia KIU haikupaswa kuwa Na 10. Pia nawasiwasi na position ya moshi cooperative universty kuwa ktk namba 37. Doubt!!!
Huwa wanatumia vigezo gain mkuu?OUT imeshuka kiwango sasaivi, ilikuwa ya nne kama sikosei mwaka uliopita
Sina uhakika saana, ila nafikiri ni research papers zilizoandikwa na kufanywa , qualifications za staff in academic( core business of entity) , Ubora wa mitihani ilivyotungwa, Mitihani kutovuja, etcHuwa wanatumia vigezo gain mkuu?
Kigezo kipo mkoani hahaaaaHAKUNA CHUO BORA KAMA SUA APA TANZANIA LAKINI NASHANGAA KIMEPITWA NA UDSM KWA VIGEZO VIPI MKUU.......
Au kwasababu kipo jijini?,au kwasababu kina maprofesa wengi?,Kigezo kipo mkoani hahaaaa
VI.LA.ZA TUNimesoma UDSM na OUT katika elimu yangu. I'm speaking with confidence kuwa OUT iko zaidiya rank hiyo. Never undermine OUT
Open university ya sita??????? Haaaaaa. This ranking is doubtful
Hii ranking ni sawa na kushindanisha "wagonjwa", nani mgonjwa zaidi? Weka ranking ya Africa nzima ili tujue tuko wapi badala za shindanisha "wagonjwa".
OkayVI.LA.ZA TU
Sina uhakika saana, ila nafikiri ni research papers zilizoandikwa na kufanywa , qualifications za staff in academic( core business of entity) , Ubora wa mitihani ilivyotungwa, Mitihani kutovuja, etc
ok poa mkuuKigezo cha hiyo rank sio academic, bali ni website ya chuo.
Soma hapohttp://www.webometrics.info/en/Methodology ..The original aim of the Ranking is to promote WEB presence....At the end a reliable rank is only possible if the web presence is a trustworthy mirror of the university
Nyie nao muwe waelewa sio unagoogle na kukuta hizo ranks ndio ukanzani in zenyewe. Kiufupi ni kwamba webometric na 4icu sio mashirika yatoa ranks kutokana academic hizo ranks zinatolewa na hiyo mashirika kutokana na web index yaani upatikanaji kiurahisi wa taarifa za chuo kwenye hizo web zao na ndo maana huwezi kuta vyuo kutoka Korea kaskazini index yake ni ndogo. Taasisi ambazo huaminiwa kwa kufanya tafiti kuangalia vigezo tofauti tofauti vya kitaaluma ni.
1. Times Higher Education
2. Shanghai ranking
3. University Ranking by Academic Performance(URAP). Ambao hivi karibuni wametoa vyeti kwa vyuo viwili vya UDSM na SUA.
Times Higher Education walishatoa ranks za afrika hakuna chuo hata kimoja toka TZ japo nilivyofuatilia nimeona hakuna tafiti waliyoifanya toka Tanzania na sijui kwa nini.
Hivyo hizo mlizoeka sio academic rankings Bali ni ranks zilizobase kwenye web index.
URAP - University Ranking by Academic Performance
Hivi ni vyuo vikuu viwili tu vya Tanzania vijulikanavyo duniani?
Kwani mimi nimesema hiyo ni ranking ya nini? Dogo, mimi hayo mambo ya rankings nayaelewa kuliko unavyowaza, nina kiburi juu yake kiasi kwamba siwezi kusoma chuo ambacho academic ranking yake worldwide ni above100 na nimefanikiwa ndoto zangu.
Labda tungejua vigezoOpen university ya sita??????? Haaaaaa. This ranking is doubtful
Hicho kiburi nimekipenda, sio kushindania vyuo vilivyo chini ya 3,000 bora duniani, dunia sio kijiji kiasi tuanze eti kuridhika na kuanza kushindania nani mbovu zaidi, itoshe tu kujua kuwa vyuo vyetu bado havipo kwenye ubora duniani.
OPEN UNIVERSITY WAKO VIZURI SANA TENA MWAKA JANA WALIKUWA 4 WAMESHUKA KWA NAFASI 2 TU.Open university ya sita??????? Haaaaaa. This ranking is doubtful