Best Universities in Tanzania (2016)

Mmh. Wametumia vigezo gan mtoa mada?? Kama ni elimu itolewayo ktk vyuo..naamini OUT lazima ni no 3. Pia KIU haikupaswa kuwa Na 10. Pia nawasiwasi na position ya moshi cooperative universty kuwa ktk namba 37. Doubt!!!
 
 

Hii ranking ni sawa na kushindanisha "wagonjwa", nani mgonjwa zaidi? Weka ranking ya Africa nzima ili tujue tuko wapi badala za shindanisha "wagonjwa".
 
7 HUBERT,10 KIU,23 KCMC.Ina maana KIU na KAIRUKI wapo mbele ya KCMC??
Huu ni utani kwenye masihara
 

This is a stupid ranking I have ever seen which ranks universities and their colleges, for example, UDSM and its constituent colleges. Here is the proper ranking: Top Universities in Tanzania | 2016 Reviews & Rankings
 
Hahahahaha nilivyo ona KIU nimecheka sana....hii ni orodha si rank.
 
Mleta uzi..Kwani maana ya University ni nini? maana nimeona hapo umechanganya colleges , institutes pamoja na university kwenye ranking moja .
 
List Ninaikubali Lakini Hapo pa KIU nabaki mdomo wazi!! Genge lile la Wababaishaji Kushika rank za juu????
Mkuu unanichanganya maana unasema list unaikubali ila KIU hukubali.Sasa hapo hujakubaliana na list.
 
UDSM na Muhimbili ndio vyuo bora kwa sasa. Zingine zote ni vyuo za kata...

OPEN haiwezi kuwa ya sita
 
Nimesoma UDSM na OUT katika elimu yangu. I'm speaking with confidence kuwa OUT iko zaidiya rank hiyo. Never undermine OUT
Hayo ni ya kweli, OUT kwa Tanzania Iko mbali Unless hiyo ranking itoe mchanganuo wa vigezo. na hasa kikubwa ni ELIMU itolewa inayomsaidia mwanafunzi kumudu maisha. OPEN usipime. Na usiombe kukutana intervuew na mtu kasoma opnen!! They are Good. nADHANI COULD HAVE BEEN 1 OR 2
 
This is a stupid ranking I have ever seen which ranks universities and their colleges, for example, UDSM and its constituent colleges. Here is the proper ranking: Top Universities in Tanzania | 2016 Reviews & Rankings

Nyie nao muwe waelewa sio unagoogle na kukuta hizo ranks ndio ukanzani in zenyewe. Kiufupi ni kwamba webometric na 4icu sio mashirika yatoa ranks kutokana academic hizo ranks zinatolewa na hiyo mashirika kutokana na web index yaani upatikanaji kiurahisi wa taarifa za chuo kwenye hizo web zao na ndo maana huwezi kuta vyuo kutoka Korea kaskazini index yake ni ndogo. Taasisi ambazo huaminiwa kwa kufanya tafiti kuangalia vigezo tofauti tofauti vya kitaaluma ni.
1. Times Higher Education
2. Shanghai ranking
3. University Ranking by Academic Performance(URAP). Ambao hivi karibuni wametoa vyeti kwa vyuo viwili vya UDSM na SUA.
Times Higher Education walishatoa ranks za afrika hakuna chuo hata kimoja toka TZ japo nilivyofuatilia nimeona hakuna tafiti waliyoifanya toka Tanzania na sijui kwa nini.
Hivyo hizo mlizoeka sio academic rankings Bali ni ranks zilizobase kwenye web index.
URAP - University Ranking by Academic Performance

Hivi ni vyuo vikuu viwili tu vya Tanzania vijulikanavyo duniani?
 
I did my B.A Political Science and History at UDSM 2007-2010 later LL.B at OUT. I'm not taking pride in myself but I can tell kuwa OUT has done big thing in my entire academic and professional life. So kwa wale wanaodhani OUT is nothing nawapa pole sana.
 
Muwe mnasoma kwa makini. Hiyo ni best universities web na siyo academic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…