Umeonaa eeh chuo ka shule ya msingi kusoma kwa shift ndo masuala gani hayoo Venue haxitoshi Poor Mzumbe lol!!!!pole mzumbe kwa sub Saharan kipo 970 polen sana ndugu zangu wa mzumbe tafuteni mipango mipyaa ......chuo kina ratiba za ajabu kweli
Kuipiku Ud hapo mtasibiri sana labda vyuo vya kata vyenzenu ila kwa Ud n salut mwanzo mwiUDOM hoyeeeeeehhhhh big up to us,
kaza mpaka moja namba,.
Hata Sua apande vpi bado saluti kwa Ud a see acha kabx Mlimani wewe
Hata Sua apande vpi bado saluti kwa Ud a see acha kabx Mlimani wewe
unakidhalilisha chuo chetu pendwa kwa uandishi huu kijana.
Tunazungumzia linkage ya vyuo na siyo kazi inabidi tuwe waelewa kwa sababu kazi siku hizi zinaenda kindugu jamaniacheni ubishi wa kijinga hata ukisoma ud xo what, kuna watu wamesoma iyo eckernford na stil life yao iko poa xo ww komaa na chuo huku umepaukaaa mtaani
Jifunze kuandika sio wote wahuni humu kijana
Ni shiida Mungu anatambua hilo ndio maana hugawa kimafungu.xx hapo umexoma out hvyo je ungexoma ud c ungetemea mate wanafunz hap centa ya upanga,maana hcho co chuo n ceñta ya vilaza
chuo dar ud,ardh n muhimbili
xx hapo umexoma out hvyo je ungexoma ud c ungetemea mate wanafunz hap centa ya upanga,maana hcho co chuo n ceñta ya vilaza
chuo dar ud,ardh n muhimbili
Aisee sasa wew Asst lecture uliyesoma OuT unaona n fahari kutukana matusi kwani MTU ukimwelekeza bila matusi unakuwa siyo msomi we need to change jamani!!! Other wise itakuw n not jamii forum but facebook
Am so sorry friends, jamaa ndio ana dharau sana
mmm ndugu utalinganisha udom na ifm na mzumbe?? .huoni wingi wa wanafunzi na malectures?.udom kuna llecturers wengi sana. input na output yaani wanaodahiliwa na kumaliza ni wengi sana.vivyo pia lecturers wake ni wengi na wanafanya utafiti na majarida mengi wanaandika.so wapo juu kwa hilo.ila kwa upande wa perfomance,sizani kama mzumb na ifm vipo chini ya udom mkuu. HII RANKING INAANGALIA VITU VINGI IN GENERAL AMBAPO INAWEZA IKAPELEKEA CHUO KUWA JUU KWAAJILI YA KITU FULANI PEKEE,EITHER KWA WINGI WA WANAFUNZI NA UTAFITI. ukitowa wingi (input output ratio,presense,information avaiilability,OPENESS ,basi kitakuwa chuni tu...Kwa kweli hongereni sana UDOM!!... Waru walikuja na kashfa nyingi sana kuhusu UDOM but now Mzumbe, IFM na wengine wanasubiri!!!! big up!!