Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,757
Last edited by a moderator:
Samahani mkuu kwani selfie ndio nini....??
Tiss ina maana gani
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaah, kila mmoja anajaribu kutoka na selfie ya ajabu
Tanzania Internal Security System/ usalama wa taifa
hv ni kweli au photoshoped??!
Nashukuru sana mkuu kwa kunipa elimu.....Mkuu ni zile picha za watu kujipiga wenyewe,yaani kama simu yako ina uwezo wa kujiangalia na kujipiga picha hizo ndo selfie,yaani kujipiga mwenyewe