1. 6 processorKwangu mimi ni kama hivi
1. Call Of Duty 3 na 4 pamoja na COD special force.
2. Assasin Creed 2 na 3
3. Need for speed most wanted.
4. Ghost recon
Haya magame utayafaidi ukiwa na processor ya maana. Tupia yako pia.
Thanks to skidrow kwa kuniwezesha kucheza kila game.
Mkuu, upgrade hiyo pc.1. 6 processor
ram 2gb...
vp naweza kucheza haya magemu na mm.....
kivip bosi... niiongeze processor na ram....Mkuu, upgrade hiyo pc.
Processor yako ndogo mkuu1. 6 processor
ram 2gb...
vp naweza kucheza haya magemu na mm.....
okMimi napata 3MBs ila kuanzia saa nane usiku napata had 7MBs nipo kigambon hapa..jamaa wanatisha mkuu
ngoja nilitafuteJaribu na American truck simulator
Mkuu kwenye smart phone hazichezi?Kwangu mimi ni kama hivi
1. Call Of Duty 3 na 4 pamoja na COD special force.
2. Assasin Creed 2 na 3
3. Need for speed most wanted.
4. Ghost recon
Haya magame utayafaidi ukiwa na processor ya maana. Tupia yako pia.
Thanks to skidrow kwa kuniwezesha kucheza kila game.
Zipo version za smart phone mkuu angalia playstore ni nzuri tu ila pc inanoga zaidi.Mkuu kwenye smart phone hazichezi?
Hahhahha umenkumbusha mbali sana mkuu hyo COD 3 na 4...... kina soap na amir zakhaev-Mimi kwangu mpaka sasa kali ni Fifa 14 niliyocheza.
-Ya pili ni Call of Duty 3, hatari saana mkuu akina Yuri, Captain Price, Gaz n.k
-Ya tatu naipenda sana ila bado sijaicheza na naitafuta kwa udi na uvumba, naomba unisaidie kuipata. Inaitwa Call Of Duty 2 Black Ops. Humu ndani kuna wanaume wawili wananikosha sana kwa mission wanazozipiga, ni ALEX MASON na WOODS.
Umo umo mkuu hii ni among the games with best graphics so far...... ile mission ya amazon hatari sanasniper ghost warrior 3 hii apa
cpu i3 2nd gen
ram 8gb
gpu GTX 760 or ati radeon HD 7870
hdd 50gb
Sniper Ghost Warrior 3 Free Download
Weka level ya VETERAN tuone kma hutoomba pooBora nisidownload tu...yani game unacheza cku 2 imeisha
yap mi ndo bado nalishushaUmo umo mkuu hii ni among the games with best graphics so far...... ile mission ya amazon hatari sana
MKUU LINK NDO HII APA KARIBU KTK ULIMWENGU WA MAGAMENahitaji need for speed underground 2 for Pc naombeni link
Bado IPO?Gaming desktop inauzwa.....graphics card ya nvidia gtx 750ti.....800k fixed.....njoo inbox tuongee
Umeshaenda kuwaona akina Mujahedeen? Alex Mason ndo mashine humo ndani na rafiki yake Frank Woods.Call of duty black ops 2....bado namsaka menendez
Nimeshakutana mpk na NoriegaUmeshaenda kuwaona akina Mujahedeen? Alex Mason ndo mashine humo ndani na rafiki yake Frank Woods.
Mpe pole Menendez kwa msiba wa dada yake Josephine.
Noriega snitch yule, ushamuua Frank Woods?Nimeshakutana mpk na Noriega