Best PC games

daah kwa sasa nipo mbali kidogo.. nipo tanga mitaa ya bombo huku.. ila halikushindi..!!!
sema kingine hakikisha una u-torrent kwenye pc yako.. ndo tunatumia kudownloadia..!!!
mkuu yaelekea wewe mjuzi a haya magaemu ,pls nisaidie serial key ya game la football manager 2017 pls nakuomba sana boss
 
Aisee napataje hizi mambo?
 
Best game
Far cry
NFS mostwanted 2012
NFS the run
NFS rivals
NFS shift2 shealed
Call of duty 2
NFS hottpursuit hizu game hatari sana
 
Uko juu sana mkuu hyo 700k nachkua Toshiba nzuri kabisa yenye graphics Kali sana core I 5 generation ya 4 or core i7 generation ya be serious bhnaa
Bro......wewe unaongelea laptop.....hii ni workstation yenye specifications so demanding kwenye soko la media production......huwezi linganisha bei ya laptop na workstation yenye corei7 na graphics card ya nvidia geforce 750ti.....tena lazma uelewe bei ya hii card ipo juu
 
IGI bana ina raha yake. Kipindi nipo form 1 nlkua da dodge shule pale Azaboy natumia nauli kulipia game. IGI ina uhalisia flani sjui ni kwa vilr life yake sio kama za izi Call of duty.
 
IGI bana ina raha yake. Kipindi nipo form 1 nlkua da dodge shule pale Azaboy natumia nauli kulipia game. IGI ina uhalisia flani sjui ni kwa vilr life yake sio kama za izi Call of duty.
IGI ni hatari, kwanza ukicheza mpaka wewe mchezaji unajiona kama ndio Jones, ukimuona Adui anakufata mpaka wewe kiuhalisia moyo unapwita.

Utamu wa hii Game, iwe ndio mara yako ya kwanza kuicheza na hujawahi kukutana na hata akina COD. Unaweza ukaona IGI ni Game ambayo ni ngumu kupita kiasi na ni Game ambayo unaweza ukakata tamaa kuicheza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…