Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,328
- 9,538
Huyu jamaa ni zaidi ya kipaji mzee.
Movie ya toka 90 huko,ila bado ni kali sanaa.
Na anajua sana kuchagua cast kuendana na movie
Huyu jamaa ni zaidi ya kipaji mzee.
Seriously madirector wetu awajifunzi chochoteHuyu jamaa ni zaidi ya kipaji mzee.
Movie ya toka 90 huko,ila bado ni kali sanaa.
Na anajua sana kuchagua cast kuendana na movie
Franchise ya Avatar haijawahi kua na Spin-off wala Prequel. Hata bado haijafika hatua ya kuitwa Trilogy labda mpaka dec 2024 Avatar 3 ikitoka. Muvi zi husianazo na Avatar ni 2 tu ndio zishatoka ila kwenye slate zipo 5 tu.umecheki spin-off yake ? this ain't avatar
chini ya Evan Stone kama main character
Sawa mkuuFranchise ya Avatar haijawahi kua na Spin-off wala Prequel. Hata bado haijafika hatua ya kuitwa Trilogy labda mpaka dec 2024 Avatar 3 ikitoka. Muvi zi husianazo na Avatar ni 2 tu ndio zishatoka ila kwenye slate zipo 5 tu.
Unless hiyo uliyosema wewe iwe Parody tu na sio actual spin-off kutoka main franchise. Wengi hupenda kufanya parody za muvi mfano Marlon Wayans alitoa parody yake ya Muvi za Fifty shades of grey akaiita Fifty shades of Black. Ni comedy inachekesha sana.
Kuna muvi nyingine ni parody ya Spiderman ila yenyewe Sterling anangatwa na Dragonfly...nadhani inaitwa superhero movie.
So hicho unachoongelea wewe itakua ni parody ila Avatar ya James Cameron haijawahi kua na Spin-off
Nipe best yako ya James Cameron moviesFranchise ya Avatar haijawahi kua na Spin-off wala Prequel. Hata bado haijafika hatua ya kuitwa Trilogy labda mpaka dec 2024 Avatar 3 ikitoka. Muvi zi husianazo na Avatar ni 2 tu ndio zishatoka ila kwenye slate zipo 5 tu.
Unless hiyo uliyosema wewe iwe Parody tu na sio actual spin-off kutoka main franchise. Wengi hupenda kufanya parody za muvi mfano Marlon Wayans alitoa parody yake ya Muvi za Fifty shades of grey akaiita Fifty shades of Black. Ni comedy inachekesha sana.
Kuna muvi nyingine ni parody ya Spiderman ila yenyewe Sterling anangatwa na Dragonfly...nadhani inaitwa superhero movie.
So hicho unachoongelea wewe itakua ni parody ila Avatar ya James Cameron haijawahi kua na Spin-off
ni parody ya ki-pilauparody
Dragon tena 😃 harafu ikawajeFranchise ya Avatar haijawahi kua na Spin-off wala Prequel. Hata bado haijafika hatua ya kuitwa Trilogy labda mpaka dec 2024 Avatar 3 ikitoka. Muvi zi husianazo na Avatar ni 2 tu ndio zishatoka ila kwenye slate zipo 5 tu.
Unless hiyo uliyosema wewe iwe Parody tu na sio actual spin-off kutoka main franchise. Wengi hupenda kufanya parody za muvi mfano Marlon Wayans alitoa parody yake ya Muvi za Fifty shades of grey akaiita Fifty shades of Black. Ni comedy inachekesha sana.
Kuna muvi nyingine ni parody ya Spiderman ila yenyewe Sterling anangatwa na Dragonfly...nadhani inaitwa superhero movie.
So hicho unachoongelea wewe itakua ni parody ila Avatar ya James Cameron haijawahi kua na Spin-off
Goodnamkubali sana na katika rank yangu ya waandaji bora ninaowakubali
(1)mel gibson
(2) james cameron
(3)Karan johar
James Cameronnamkubali sana na katika rank yangu ya waandaji bora ninaowakubali
(1)mel gibson
(2) james cameron
(3)Karan johar
Dah,bongo hakuna kitu kabisa...hivi vi movie vyetu kila siku story mbuzi tu..upuuzi upuuzi
Noma sanaJames Cameron
Steven Spielberg
Christopher nolan
Hapo kuna vichwa balaaa
Wanazingua sanaDah,bongo hakuna kitu kabisa...hivi vi movie vyetu kila siku story mbuzi tu..upuuzi upuuzi
Ndio sijaandika zoteKuna movie kibao hapa haujaziweka. Huyu ndie director ambaye amefanya mambo makubwa Hollywood na kuleta mapinduzi makubwa sana katika ulimwengu wa filamu. Jamaa apewe mauwa yake kwa wingi aiseee.
The best director of all times. Namkubali sana huyu dingi baba.
Ngoja tuisubili mkuu au sioHiyo avatar nimeicheki 2010 mara ya kwanza na sijaona mbadala wake mpaka sasa, way of water ni kali lakini haijafika kwa hiyo ya kwanza, ngoja nisubiri ya mwakani panapo majaliwa
yangu ninamkubali sana na katika rank yangu ya waandaji bora ninaowakubali
(1)mel gibson
(2) james cameron
(3)Karan johar
James Cameron umkubaliyangu ni
1. quentin tarantino
2. michael bay
3. james wan