Best movies

Best movies

Wambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
558
Reaction score
335
Aisee.... mimi kwa upande wangu mwaka 2011 movies aambzo ni best kwangu ni:
1. COLOMBIANA
2. NIKITA
3. MISSION IMPOSSIBLE 4
4. ASSASINATION GAMES
5. FLASH FORWARD

mkuu we ni movie zipi umeziona last year na zikakukosha???
 
1. Fast five
2. Vampire diaries
3. My town
4. Kanumba
5. Ray
 
hitlist
drop dead diva
tresspass
secret circle
in treatment
 
mdau,umenena kwa wapenda movies ,filamu ni zaidi ya starehe ila uwe umeangalia movie tamu kama hizi hapa
1.Perfume the story of a murder
2.Couples retreat
3.Hitler ,The rising of an evil
4.The Contract
5.Breaking all rules
 
Hizo ni animation kaka... Makatuni tu hayo!!!

Duh... Wabongo mnawadharau hasa... Ila kwa mtazamo... Animation zinazid hadi filamu za kibongo
 
hitlist
drop dead diva
tresspass
secret circle
in treatment

Naipenda Hitlist, c ya yule mshikaaji aliyecheza Gifted Hands ya Bem Carson.. Iko pouwa
 
mdau,umenena kwa wapenda movies ,filamu ni zaidi ya starehe ila uwe umeangalia movie tamu kama hizi hapa
1.Perfume the story of a murder
2.Couples retreat
3.Hitler ,The rising of an evil
4.The Contract
5.Breaking all rules

The Contract ni mzuka, nimeiona hio.. Hizo nyingine bdo. Lakin zinaonekaana ni interesting kweli... ntazitaafta nidownload
 
1.mouse hunt 2.undeciputable iii. Mr bean's holiday.3 davince code. Hulk ii. Behind enemy's line. 6 papa shirandula.
 
My teachers a milf...movie kali sana hii
 
Watu wanataja bora za 2011 au zozote zikujiazo kichwani ukikumbuka?
Kwa upande wangu bora za 2011 ni kama ifuatavyo...the inbetweener,source code,the hit list,colombiana,Real steel,Friends with benefits,horrible bosses,drive,killer ellite,a lonely place to die,red state,captain america,thor,our idiot brother,catch 44,abduction,hall pass,priest,hangover II,the mechanic,malizia na mr john english reborn.
OTIS
 
The Contagion
Final Destination 5
Fright Night
The Priest
 
Watu wanataja bora za 2011 au zozote zikujiazo kichwani ukikumbuka?
Kwa upande wangu bora za 2011 ni kama ifuatavyo...the inbetweener,source code,the hit list,colombiana,Real steel,Friends with benefits,horrible bosses,drive,killer ellite,a lonely place to die,red state,captain america,thor,our idiot brother,catch 44,abduction,hall pass,priest,hangover II,the mechanic,malizia na mr john english reborn.
OTIS

Zozote zilizokuvutia mwaka 2011 mkuu OTIS. alafu hio Mr. John English Reborn naitaman sana hio aisee
 
Back
Top Bottom