Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Jamani hii ni collection yangu kuhusu thread replies/comments ambazo ni "funniest yet intelligent" kiasi cha kuona kuwa there are individuals who are damn clever as hell! Ongeza zako pia:
Huyu jamaa alireply kwa jamaa aliyeuliza kuwa ni mfumo gani wachawi wa illuminati walitumia hadi kuwa na nguvu duniani (thread ilikuwa kuhusu jinsi ya kutengeneza taasisi kubwa ya kichawi iwe kama ya illuminati)
View attachment 214132
Huyu jamaa alikuwa akiwajibu walimu kutoka mikoani wanaotaka kubadilishana na walioko arusha ili wao waje arusha.View attachment 214133