Best English Course Center

B.G TANTAWI

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
495
250
Tuwasaidie wenzetu ambao wanataka kujifunza kiingereza au ku-improve kiingereza chao kwa kuwaelekeza vituo bora vya kujifunzia.

kwa yeyote aliyepo Dar aje hapa British Council hapa posta mpya karibu na ubalozi wa Zambia au karibu na wizara ya NISHATI NA MADINI.

kwa wale wa mwanza sijajua vituo vizuri wadau wa mwanza watakuja hapa kutueleza, wa ARUSHA, TANGA, MBEYA, NK. Please tuwasaidie wenzetu.
 
Matokeo1

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
231
195

Tunashukuru sana kaka na ubarikiwe, ila hatujajua gharama zake ili tujipange na sisi tulioko Moshi msaada tunaweza kuufuata wapi
 
the locksman

JF-Expert Member
May 5, 2012
1,019
1,500
Mkuu vipi hapo British Council bado wanatoa elimu nzuri ya kuongea kiingereza, na inachukua muda gani mtu kujua.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom