EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,483
- 15,308
Thanks kamanda BBC wales naona inafana fanana na BBC mama je inawekzekana hata tovuti ya bbc mama wametumua drupal. Je kuna ayejua TBC yetu wametumia CMS gani . Najua NSSF, TRA wanatumia Joomla
what is this sir? Anyway thanks let me google it
TBC wanatuma Joomla. Bofya hii link inakupeleka moja kwa moja kwenye admin login page: http://www.tbc.go.tz/administrator/ . Mpaka kwenye front end bado kuna sehemu zimeandikwa Joomla. Like "New to Joomla!" Ningependa kujua ni sh ngapi zilitumika kutengeza hii site. Kama site ya shirika la Utangazaji la Taifa, inamiss vitu vingi sana. Unakumbuka, site yao ya kwanza ili crush siku chache baada ya kwenda heweni. Sijui walitumia CMS gani. The best news CMS ambayo nimeiona ni Vivvo. Hii CMS imekuwa specifically designed for a news site. Ni ya kulipia but it worths it. Cheki demo: http://www.vivvo.net/. IPP media, habariLeo na Daily News zinatumia CMS gani. Au ni custom based?