Kizito Dickson
Senior Member
- Sep 24, 2018
- 174
- 208
Wordpress in moja kati ya mifumo kadhaa tofauti ya kusimamia maudhui ya tovuti na blogu.Wordpress in mfumo ambao ni bure kutumia kwani unatengenezwa na watu wanaojitolea kwa kuboresha mfumo huo na kurekebisha makosa.Mfumo huu unatumika kwa kuzingatia utaratibu wa leseni ya wazi(Open source license) na hivyo mtumiaji hawajibiki kulipia gharama yoyote kutumia wordpress.Mifumo mingine ya kusimamia maudhui ya tovuti ni pamoja na joomla,drupal na mingine mingi ambayo ni ya kulipia.
Uzuri wa wordpress ni kwa mba inakuwezesha kutengeneza tovuti bila kuwa na utaalamu mkubwa wa mambo ya lugha za kompyuta(Computer Programming language and web programming languages)Hivyo basi kwa kutumia wordpress unaweza kutengeneza tovuti za kisasa kabisa kama vile mtaalam wa web design bila kujua hata punje ya programming language kama java,php au html.
Ili kutumia wordpress inakubidi kui install kwenye mashine yako(web server) na kisha kuingia kwa kupitia ama kwenye ip yako au kwa kutumia domain name(domain name lazima isajiliwe).Iwapo unatumia huduma za kulipa mtandaoni basi kuna nmna nyingi na rahisi za kutumia wordpress bila kuhitaja kuipakua na kupakia (download and upload) kwani unaweza kutumia one click installation systems
Jambo la muhimi ni kujua tu kwamba wordpress inapatikana katika tovuti ya wordpress.org na humo pia unaweza kupakua theme kwa ajili ya mwonekano wa tovuti yako na pluggins kwa ajili ya kuwezesha tovuti yako kufanya kazi mbalimbali.
Iwpo unapenda kufahamu zaidi kuhusu wordpress tafadhali nifuate pm nami nitakutumia mafunzo haya ambayo yanapatikana kwa kiswanglish yaani mchanganyiko wa kiswahili na kiingereza kidogo kwa ajili ya yale maneno ya kitaalamu
Jinsi ya Kudownload Wordpress kwa ajili ya mazoezi
Ifahamu Wordpress Multi site - JamiiForums