Hapana..Wale walioimba sijui sumu ya teja
Duh! Basi siwajui.Hapana..
Mandojo na domo Kaya moja ya nyimbo zao ni kama Elimu ya Juu,dingi,kesho na Wanoko-noko waliomushirikisha mwanadada kamanda Binti machozi jide.
Wimbo wao "dingi" upo vizuri.
yule dingi kavu sana ..wakimmalizia msosi sufuria anapiga misumariMhh!!
Ulikushindaje kuusikiliza..
Dingi-mandonjo & domo kaya.
Unawafahamu mandojo & domokaya..?
sumu ya teja kaimba vitalis maembeHapana..
Mandojo na domo Kaya moja ya nyimbo zao ni kama Elimu ya Juu,dingi,kesho na Wanoko-noko waliomushirikisha mwanadada kamanda Binti machozi jide.
Wimbo wao "dingi" upo vizuri.
Nadhani kwa sababu huwatambui vyema..Duh! Basi siwajui.
Kuna wimbo mmoja niliupenda sana sijui uliimbwa na nani, anasema baba yake alimkimbia kwa sababu ya hali ngumu ya maisha....aah nimeisahau
Yeah!!Susumu ya teja kaimba vitalis maembe
wamanda vakuNadhani kwa sababu huwatambui vyema..
Kwa njisi ulivyoelezea utakuwa Ndio huo wa kuitwa Dingi-mandojo & domokaya.
Kwa hiyo wewe unapenda kusikiliza muziki wa aina gani..?
Daaayumn!!!I gotta story to tell -Notorious B.I.G
Five minutes to flush- The Firm
Lodidodi- Snoop Doggy Dogg
Slim Shady - Eminem
Renee- Lost Boyz
Next Nigguz Dick- Onyx
Oooh kumbe! Basi huo naupenda mpaka keshoNadhani kwa sababu huwatambui vyema..
Kwa njisi ulivyoelezea utakuwa Ndio huo wa kuitwa Dingi-mandojo & domokaya.
Kwa hiyo wewe unapenda kusikiliza muziki wa aina gani..?
Dingi mshenzi sana,yule dingi kavu sana ..wakimmalizia msosi sufuria anapiga misumari
TumboniiKwa hapa bongo ni Chindoman 'umbwa mzee' pekee kutoka watengwa ndo mwenye hii style
-Mjeshi
-Safari ndefu
-King kola
-Haikupangwa
-Nyokaa
..nk
Plz naomba anayeweza aniwekee mashairi yake hapa. Au aurushe huo wimbo hapaNadhani kwa sababu huwatambui vyema..
Kwa njisi ulivyoelezea utakuwa Ndio huo wa kuitwa Dingi-mandojo & domokaya.
Kwa hiyo wewe unapenda kusikiliza muziki wa aina gani..?
ila wala haukujali ukajiona mwali...Huna jipya p the mc katisha sana...inaitwa twende kilioni kwa mbele zimefumuka.