Best 5 Storytelling Rap Songs

Best 5 Storytelling Rap Songs

Forest Hill

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Posts
2,873
Reaction score
6,886
Its true kwamba Alama ya rapa mzuri ni uwezo wa kughani mashairi ya kupendeza..,lakini Alama ya Rapa mkali ni uwasilishaji wake wa visa,matukio,adithi,katika njia ya kupendeza na kumvutia msikilazaji kuendelea kusikiliza nyimboo..bongo kuna nyimbo kwa upande wangu zina adithi,story za kunivutia sana..kwa uchache nataja my top 5,,Nazi in

1: Diplomats MASELA TUMEJIPANGA

2: Chindo STORY YA NYOKAA

3:Jay Mo STORY 3

4:fid q RIPOTI ZA MTAANI

5:JCB UKISIKIA PAAH
 
Napenda kusikiliza mziki ila huu ulinishinda. Ungetuwekea mashairi ya hizo nyimbo ili nasi tupate story
 
I gotta story to tell -Notorious B.I.G
Five minutes to flush- The Firm
Lodidodi- Snoop Doggy Dogg
Slim Shady - Eminem
Renee- Lost Boyz
Next Nigguz Dick- Onyx
I got story to tell Kali,big mkali sana ndio king wa story telling..sikiliza me and my bitch..na make niggaz bleed
 
1.Feroos-Starehe
2.Professa Jay-Nikusaidiaje
3.Professa Jay-Zali la Mentaly
4.Songa-Usiku
5.Stereo-Rafiki
Dah list yako nimeipenda sana kama hapo zali LA mentali na usiku,sikutenda haki
 
1)Jay Mo_stori tatu
2)Gk-sauti ya manka
3)nikki mbishi-sauti ya jogoo
4)nature-kisa demu
 
Kisa demu ya juma nature the best ever of all time kws storytelling

nature kachezea kichapo lango la jiji vumbi linatimka barabara gari haziend abiria wanapitiliza makwao sababu awaioni stend
 
"akaniuliza mzee wa nazi we unakunywa nini? nikasema aaanh mi nakunywa kili lakini endapo zitazisha tu nitazivamia safari''
 
Basi steve b akamwitaaa weitaa mpatie kili mbili moja moto moja baridi,
Na chenji ilobaki mpe dogo akanunue kubeli!''
 
MwanaFA feat lady jayD...sitoweza kuamka ataponita mola muumba macho mimi nitayafunga
 
Back
Top Bottom