Afadhali wewe utotoni, lakini kuna watu wazima unakuta wanabishana kuhusu hilo, ukiwaelezea kuwa ni issue ya fall in pressure katika upande ambao upepo una high velocity (between the train and the vehicle), hawakuelewi kabisa, wao wanaamini ni sumaku!Ha ha umenikumbusha utotoni aisee
Afadhali wewe utotoni, lakini kuna watu wazima unakuta wanabishana kuhusu hilo, ukiwaelezea kuwa ni issue ya fall in pressure katika upande ambao upepo una high velocity (between the train and the vehicle), hawakuelewi kabisa, wao wanaamini ni sumaku!
Yeah, na kuna watu wanaamini treni ina sumaku!
Inaweza ikawa mojawapo ni sababu ya kielektroniki, lakini ambayo haswa nimejifunza shuleni haihusu magari pekee, hata mtu ukisimama along the railway platform ni hatari sana. Chukulia gari lina upande wa boneti na tuuite upande A, na pia lina upande wa nyuma, tuuite upande B. Kinachotokea ni kwamba treni linakuwa na speed kubwa na kusababisha air iliyopo kati yake (treni) na upande A wa gari kuwa katika speed kubwa as well ukilinganisha na speed ya air katika upande B wa gari. Kwa mujibu wa Bernoulli's Equation, rise in velocity (speed) ya fluid (hapa ni air) husababisha fall in pressure, kwa hiyo upande A wa boneti la gari utakuwa katika low pressure ukilinganisha na upande B wa nyuma ya gari. Matokeo yake ni kwamba presure inakuwa haijabalance, so excess pressure itasababisha movement ya object from high-pressure side to low-pressure side, na ndio maana utaona gari linavutwa ghafla katika surface ya train.Labda nichukue nafasi hii kuwaelimisha wanaoamini hivyo! kinachotokea ni kwamba gari linalovuka reli wakati treni ikiwa karibu ni hilo gari kuzimika na hatimaye treni kuliparamia hilo gari. Kinachosababisha gari kuzima hasa linalotumia plugs(petrol) ni potential difference inanatokea kati ya umeme wa gari na umeme unaofuliwa relini kwa njia ya msuguano inayosababishwa na magurudumumu ya treni. Umeme huu unaitwa thermo dynamic ambao ni sawa na umeme wa radi na pale inapotokea potential difference baina ya gari na reli ni kubwa ndipo gari huzimika kwa vile umeme wa gari ambao mara nyingi ni mdogo kuliko uliopo ktk reli. Unashauriwa kusimama endapo treni itakuwa imekaribia kivuko na endapo utashtukia treni iko karibu pasipo kuiona basi haraka badili gear kuwa free ili uvuke reli pasipo gari kusima.
Labda nichukue nafasi hii kuwaelimisha wanaoamini hivyo! kinachotokea ni kwamba gari linalovuka reli wakati treni ikiwa karibu ni hilo gari kuzimika na hatimaye treni kuliparamia hilo gari. Kinachosababisha gari kuzima hasa linalotumia plugs(petrol) ni potential difference inanatokea kati ya umeme wa gari na umeme unaofuliwa relini kwa njia ya msuguano inayosababishwa na magurudumumu ya treni. Umeme huu unaitwa thermo dynamic ambao ni sawa na umeme wa radi na pale inapotokea potential difference baina ya gari na reli ni kubwa ndipo gari huzimika kwa vile umeme wa gari ambao mara nyingi ni mdogo kuliko uliopo ktk reli. Unashauriwa kusimama endapo treni itakuwa imekaribia kivuko na endapo utashtukia treni iko karibu pasipo kuiona basi haraka badili gear kuwa free ili uvuke reli pasipo gari kusima.
Here typical ..Great thinkers ..@ Work!!! Endeleeni .. meet me @ MMU!!