Bernoulli's principle at work

Bernoulli's principle at work

Yeah, na kuna watu wanaamini treni ina sumaku!
 
Ha ha umenikumbusha utotoni aisee
Afadhali wewe utotoni, lakini kuna watu wazima unakuta wanabishana kuhusu hilo, ukiwaelezea kuwa ni issue ya fall in pressure katika upande ambao upepo una high velocity (between the train and the vehicle), hawakuelewi kabisa, wao wanaamini ni sumaku!
 
Zamani kabisa mwalimu wangu wa physics wakati bado njuka alituambia, "ukijua physics huwezi kuwa mshamba"
 
Yeah, na kuna watu wanaamini treni ina sumaku!

Labda nichukue nafasi hii kuwaelimisha wanaoamini hivyo! kinachotokea ni kwamba gari linalovuka reli wakati treni ikiwa karibu ni hilo gari kuzimika na hatimaye treni kuliparamia hilo gari. Kinachosababisha gari kuzima hasa linalotumia plugs(petrol) ni potential difference inanatokea kati ya umeme wa gari na umeme unaofuliwa relini kwa njia ya msuguano inayosababishwa na magurudumumu ya treni. Umeme huu unaitwa thermo dynamic ambao ni sawa na umeme wa radi na pale inapotokea potential difference baina ya gari na reli ni kubwa ndipo gari huzimika kwa vile umeme wa gari ambao mara nyingi ni mdogo kuliko uliopo ktk reli. Unashauriwa kusimama endapo treni itakuwa imekaribia kivuko na endapo utashtukia treni iko karibu pasipo kuiona basi haraka badili gear kuwa free ili uvuke reli pasipo gari kusima.
 
Inaweza ikawa mojawapo ni sababu ya kielektroniki, lakini ambayo haswa nimejifunza shuleni haihusu magari pekee, hata mtu ukisimama along the railway platform ni hatari sana. Chukulia gari lina upande wa boneti na tuuite upande A, na pia lina upande wa nyuma, tuuite upande B. Kinachotokea ni kwamba treni linakuwa na speed kubwa na kusababisha air iliyopo kati yake (treni) na upande A wa gari kuwa katika speed kubwa as well ukilinganisha na speed ya air katika upande B wa gari. Kwa mujibu wa Bernoulli's Equation, rise in velocity (speed) ya fluid (hapa ni air) husababisha fall in pressure, kwa hiyo upande A wa boneti la gari utakuwa katika low pressure ukilinganisha na upande B wa nyuma ya gari. Matokeo yake ni kwamba presure inakuwa haijabalance, so excess pressure itasababisha movement ya object from high-pressure side to low-pressure side, na ndio maana utaona gari linavutwa ghafla katika surface ya train.

The same applies utakapoona upepo unavuma nje ya nyumba halafu mlango unajibamiza towards outside (unajifunga kama ulikuwa umefunguliwa kwa ndani), hiyo yote ni application ya Bernoulli's principle na ni matokeo ya rise in velocity in one side leading to fall in pressure on the side causing excess pressure to move the object towards the low-pressure side.

Physics does not lie!
 
Labda nichukue nafasi hii kuwaelimisha wanaoamini hivyo! kinachotokea ni kwamba gari linalovuka reli wakati treni ikiwa karibu ni hilo gari kuzimika na hatimaye treni kuliparamia hilo gari. Kinachosababisha gari kuzima hasa linalotumia plugs(petrol) ni potential difference inanatokea kati ya umeme wa gari na umeme unaofuliwa relini kwa njia ya msuguano inayosababishwa na magurudumumu ya treni. Umeme huu unaitwa thermo dynamic ambao ni sawa na umeme wa radi na pale inapotokea potential difference baina ya gari na reli ni kubwa ndipo gari huzimika kwa vile umeme wa gari ambao mara nyingi ni mdogo kuliko uliopo ktk reli. Unashauriwa kusimama endapo treni itakuwa imekaribia kivuko na endapo utashtukia treni iko karibu pasipo kuiona basi haraka badili gear kuwa free ili uvuke reli pasipo gari kusima.

Heshima yako mkuu, kidogo maelezo yako yameniacha na maswali mengi - kwanza hii na mara yangu ya kwanza kusikia kwamba umeme unaweza kuzalishwa kwa kanuni ya Thermo Dynamics kwa njia ya msuguano!! Ungesema kwa njia ya Thermodynamic Solar power plants ningekuelewa, pili umeme unao sababisha radi onatokana umeme wa static, kwa kawaida umeme wa static unazalishwa kutokana na msuguano wa bad conductor/Insulators kama plastic,manyoya,mawingu,carpet nk, uwezi kuzalisha umeme wa static kutoka kwenye good conductor kama vyuma (reli na wheelsets za train vyote ni good conductor kwa kuwa vyote vimehudwa kwa madini ya Chuma).

Hili la gari kuzimaka ghafla wakati train inapokaribia, kwa mawazo yangu nafikili hilo linatokana na muingiliano wa mawambi (EMI) yanayozalishwa na generator ya umeme wa train (locomotive) na system ya Electronic Fuel Injection ya gari (kwa wengi module hiyo inajulikana kama Control Box) mfumo wa kuwezesha injectors kutema mafuta ukihingiliwa na wawimbi yanayo zalishwa na Generator ya locomotive basi injectors hizo zitajifunga na kusababisha gari kuzima ghafla. Hayo ndio maoni/mchango wangu, wengine wanaweza kuwa na maoni mengine tofauti kabisa.
 
Here typical ..Great thinkers ..@ Work!!! Endeleeni .. meet me @ MMU!!
 
Back
Top Bottom