Bernard Morrison aomba radhi Simba SC, asamehewa

Kwenye mechi ya marudiano morrison yupo na lwanga nadhani atakuwepo
 
Kwenye mechi ya marudiano morrison yupo na lwanga nadhani atakuwepo
Mechi ya marudiano ipi mkuu?
Kumbuka hii ni ligi siyo knock out stage ratiba iko hv ijumaa simba atacheza ni ile timu ya niger(away) akitoka hapo anaenda morocco kucheza na berkane. Hayo marudiano ni second round
 
Yeah tarehe 27 tunakutana na berkane, na jana hapo alimpiga mtu goli 5 huku na yeye akiruhusu goli 3 na ndio kinara wa group kwa tofauti ya magoli

Pablo nadhani atakuwa ameshasoma mchezo wao
 
Hakuna marudiano acha ukolo
So Long as Simba atakuja kucheza na Asec Ivory Coast basi hayo ndo yatakua marudiano yenyewe. Labda ieleweke tu kua hapo itakua ni kipindi atakachoanza hatua ya marudiano akiwa ameshacheza na Gendarmerie na Berkane.
 
Back
Top Bottom