Bernard Membe Scholarship Fund inalenga nini?

Wakati ndo huu tupe historia


 
HAPATI KITU😱
 
Ah, kumbe ndio maana hata ka-chou kakuu kenyewe ka akina Mama Bisimba kalikufilia mbali!
 
Hivi aliyemdanganya Membe kuwa anaweza kuwa Rais wa Tanzania ni nani? au mke wake? au WAMA? au ile ndoto! hivi amishaoteshwa kumbe?
WEWE NI NANI ALIYEKUDANGANYA KUWA URAIS NI MONOPOLY RIGHT YA MTU MMOJA?ANAYE UNDERPERFORM?
AMEKUDANGANYA MKE WAKO??? THINK BIG !
 
Ni kweli nakubaliana nawe mkuu Membe ni rahisi wala siyo raisi na urahisi wake unatokana na uzito wake wa kufikiri na kuchukua hatua kwenye mambo ya msingi ya kitaifa nusura tuingie kwenye vita na Rwanda na Burundi kwa uzembe wake
kwa wa sasa tumepoteza trion 1.5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…