naninibaraka
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 910
- 669
- Thread starter
-
- #21
mbona umaweweseka? heading na text tofauti, wapi kasema hela za gadafi? gadafi yupi? kunya anye kuku, akinya bata kaharisha
Naskia umeteuliwa uwaziri Hongera
Ile safari yenu ya matumaini imefikia wapi?[emoji12]Aha wapi. CCM km majamaa mengine hawana vitu endelevu. Kila kitu ni demo tuu na muda huo.Watakuambia ni mkakati tuu ulikuwa .Watu wana akili mjini bwana.Ndio majibu yao na wapambe wao,kisha wanpaongezana siku imeisha na hasara imebaki kwa watz. Hata wenzao north korea wakitaka piga picture ya rais akipiga mkwara mataifa yanayompa chakula.Huwa wanapiga ukuta rangi bila hata mmoja kujiuliza kwanini wanafikia kufanya huo ujinga na kwa faida ya nani. Nyerere mwenye libidi akubali tuu unga wa Yanga. watu wakala mahindi ya wanyama marekani kuliko kufa njaa.Tulidhalilika aje,mbaya yale mahindi tulikuja gundua bado yalikuwa na virutubisho kuliko haya ya binadamu ktk nchi za kijamaa.
Huyu lofa sijui alilipwa Sh ngapi![emoji13] [emoji13] [emoji13]
Leo ukiwaita malofa wanalalamika
Probably kwa vile watu walikuwa kwenye starvation yakaletwa ili kuboresha lishe kwsni yana virutubisho hasa vitamin A kuliko hayo meupeAha wapi. CCM km majamaa mengine hawana vitu endelevu. Kila kitu ni demo tuu na muda huo.Watakuambia ni mkakati tuu ulikuwa .Watu wana akili mjini bwana.Ndio majibu yao na wapambe wao,kisha wanpaongezana siku imeisha na hasara imebaki kwa watz. Hata wenzao north korea wakitaka piga picture ya rais akipiga mkwara mataifa yanayompa chakula.Huwa wanapiga ukuta rangi bila hata mmoja kujiuliza kwanini wanafikia kufanya huo ujinga na kwa faida ya nani. Nyerere mwenye libidi akubali tuu unga wa Yanga. watu wakala mahindi ya wanyama marekani kuliko kufa njaa.Tulidhalilika aje,mbaya yale mahindi tulikuja gundua bado yalikuwa na virutubisho kuliko haya ya binadamu ktk nchi za kijamaa.
2020 si mbali mkuu. Endelea kusaidia vijana maskiniHiyo ilikuwa gia ya kusaka urais tu, ni usanii kama wa yule aliyekuwa akichangia mamilioni makanisani & misikitini - siku hizi kimya!