naninibaraka
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 910
- 669
membe ndio rahisi na anauwezo huo wa kuongoza nchi.wengine naona kelele tu
unamjua membe unamsikia
membe ndio rahisi na anauwezo huo wa kuongoza nchi.wengine naona kelele tu
wana jf huku joto la urais likipanda leo mzee wa mtama aka membe akiwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya chuo cha bagamoyo yaliyofanyika hotel ya kiromo bagamoyo ameahid kuanzisha benard membe scholarship funds huku akimwagiza mkuu wa chuo bwna costa mahalu aanzishe kamati maalumu ya kuratibu hilo,huku pia akiwaomba wahitimu wamuunge kwenye safari ambayo hajaitaja huku akihaidi ajira kwa wahitimu,ahadi hizi za membe siyo kampeni ya kuungwa mkono kuelekea magogoni?
Tutaona mengi kabla ya 2015
mungu ibariki tanzania
Nadhani ulikuwa unamaanisha LOWASA ndio pendeleo lako binafsi la kuwa rais wa Tanzania ajae na sio la Watanzania wote au wana JF wote.Tuweke sawa hadidu za rejea. Mimi hao wote sio pendekezo langu. I prefer a young blood like ZITTTTOOAnaweza kuiongoza familia yako na sio sisi watanzania tunaojielewa.. LOWASA pekee ndio chaguo letu sisi watanzania
chuo kipi hicho?
Nadhani ulikuwa unamaanisha LOWASA ndio pendeleo lako binafsi la kuwa rais wa Tanzania ajae na sio la Watanzania wote au wana JF wote.Tuweke sawa hadidu za rejea. Mimi hao wote sio pendekezo langu. I prefer a young blood like ZITTTTOO
Wana JF huku joto la urais likipanda leo mzee wa mtama aka Membe akiwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya chuo cha bagamoyo yaliyofanyika hotel ya kiromo bagamoyo ameahid kuanzisha BENARD MEMBE SCHOLARSHIP FUNDS huku akimwagiza mkuu wa chuo bwna Costa Mahalu aanzishe kamati maalumu ya kuratibu hilo,huku pia akiwaomba wahitimu wamuunge kwenye safari ambayo hajaitaja huku akihaidi ajira kwa wahitimu,ahadi hizi za membe siyo kampeni ya kuungwa mkono kuelekea magogoni?
Tutaona mengi kabla ya 2015
Mungu ibariki Tanzania
hivi aliyemdanganya membe kuwa anaweza kuwa rais wa tanzania ni nani? Au mke wake? Au wama? Au ile ndoto! Hivi amishaoteshwa kumbe?