Bernard Membe mbona yupo kimya sana?

Majasusi waliopikwa vizuri huwa na tabia ya kufanya kazi zao kimya kimya bila kelele, kwangu mimi anabakia mtu pekee ndani ya ccm kumtikisa mwendazake enzi zile!

Mimi binafsi sina deni nae, kazi aliyotumwa na kitengo ameifanya vyem!

Lakini kumbuka ukiona kobe kainama ujue anatunga sheria!

mnamtia ujinga tu,huyu hatoshi hata uenyekiti.

akili zenyewe za ujasusi hana,asingeenda kuripoti kwa mdogo wake kikazi.
 
Jasusi wa zamani wa TISS, Mwanadiplomasia na waziri mstaafu Benard Membe yupo kimya Sana awamu hii.

Membe ni jasiri aliyemtikisa Magufuli na kukosoa utendaji wake tangu mwaka 2016 mwanzoni. Namnukuu"Rais Magufuli asitudanganye eti kapunguza matumizi ya serikali kwa kuunganisha wizara mbalimbali, alichokifanya ni sawa na kupunguza mifuko huku idadi ya mayai ikiwa ileile, yaani kahamishia mayai ktk mifuko michache na sio kuyapunguza mayai. Kama anadai kapunguza wizara ngoja tuone bajeti yake ya Kwanza mwaka huu 2016". Benard Membe.

Alipotoa kauli hiyo alitukanwa Sana na UVCCM ya kipindi hicho. Baada ya hapo alinyamaza kimya na kuibuka baadae na kudai atampinga Rais Magufuli kwa njia ya uchaguzi ndani ya chama 2020. Hawakumvumilia na badala yake alifukuzwa na kuhamia ACT. Aligombea Urais na kuambulia kura chache mno, kura si zaidi ya 60,000.

Je, jasusi huyu yupo wapi mbona hasikiki? Anautazama vipi utawala huu?
Anakula pension yake tartiiibu, weye wamtafutia ninii🤔
 
Anasubiri malipo kutoka kwa musiba..ili aanze harakati ndani ya chama cha kijani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kufafanua zaidi hapo nimemaanisha kuwa assignment ya Kukomboa Pesa zake zilizokwama Dubai kisha Kenya zilifanikiwa tarehe hiyo tajwa ya 17 Machi, 2021.

Mtakaohisi otherwise mtakuwa Morons
Genta kama gentamycine
 
Jasusi wa zamani wa TISS, Mwanadiplomasia na waziri mstaafu Benard Membe yupo kimya Sana awamu hii.

Membe ni jasiri aliyemtikisa Magufuli na kukosoa utendaji wake tangu mwaka 2016 mwanzoni. Namnukuu"Rais Magufuli asitudanganye eti kapunguza matumizi ya serikali kwa kuunganisha wizara mbalimbali, alichokifanya ni sawa na kupunguza mifuko huku idadi ya mayai ikiwa ileile, yaani kahamishia mayai ktk mifuko michache na sio kuyapunguza mayai. Kama anadai kapunguza wizara ngoja tuone bajeti yake ya Kwanza mwaka huu 2016". Benard Membe.

Alipotoa kauli hiyo alitukanwa Sana na UVCCM ya kipindi hicho. Baada ya hapo alinyamaza kimya na kuibuka baadae na kudai atampinga Rais Magufuli kwa njia ya uchaguzi ndani ya chama 2020. Hawakumvumilia na badala yake alifukuzwa na kuhamia ACT. Aligombea Urais na kuambulia kura chache mno, kura si zaidi ya 60,000.

Je, jasusi huyu yupo wapi mbona hasikiki? Anautazama vipi utawala huu?
Jasusi mbobezi Benard Kamilius Membe, mwanadiplomasia nguli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom