Bernard Membe Kumburuza Kortini Hussein Bashe: AK-47 Vs Mawe!

Bernard Membe Kumburuza Kortini Hussein Bashe: AK-47 Vs Mawe!

ushabiki tu. eti ndiye anayeweza kuwa rais bora?
 
Mkuu mbona uzi huu umekaa ndio sivyo! Kama kweli, mimi namshauri Mh.Membe asipoteze muda wake kwenye mambo ya kipuuzi - akipania kupeleka suala hili mahakamani basi atakuwa amewapatia wenzake publicity STUNT zisizo za lazima, uwezi kujuwa watasema nini to get even, vile vile uwezi kutabiri baadhi ya vyombo vya habari vita weka chumvi ya kiasi gani kwenye suala zima, msiangalie mambo kijuu juu; binadamu wengine wako highly organised katika hazma zao, so - WATCH OUT.
 
sasa kwani ni uongo kazoea kubebwa? hawa ndio wale wanabebwa mpaka kuingia ikulu alafu wakishafika huko inabidi waanze kulipa fadhila za wale maswahiba waliombeba...watu kama hao hawatakiwi waonekane anywhere near ikulu
 
si bure.....utakua mwandishi wa habari wa TBC au UHURU.... Akili mgando zimejaa ukijani tupu....
 
Ni sababu zipi za msingi zinazopelekea kuamini kuwa mtu hawezi kuwa rais bora wa Tanzania hadi awe member nec ya ccm? ina maana chadema,cuf,tlp,nccr n.k hawawezi kutoa rais bora kwa kuwa hawezi kuwa member wa nec-ccm? na je hakuna mwanaccm yoyote ambae si member wa nec awezaye kuwa rais bora?

Hivi mnazungumzia nini??
 
Ni sababu zipi za msingi zinazopelekea kuamini kuwa mtu hawezi kuwa rais bora wa Tanzania hadi awe member nec ya ccm? ina maana chadema,cuf,tlp,nccr n.k hawawezi kutoa rais bora kwa kuwa hawezi kuwa member wa nec-ccm? na je hakuna mwanaccm yoyote ambae si member wa nec awezaye kuwa rais bora?

Msafala wa mamba na kenge wamo kwa uwezo anayefaa ni Wasira.
 
Jk alisema tumetoka wote wa moja Dodoma na CCM haijagawanyika, kama ni kweli Membe ana wazo la kumburuza Bashe kortini ina maana anapingana maneno ya Jk ? je ni kweli malumbano ya kichama yaweza kwenda kortini bila kupitia vikao vya chama? au ni njia muafaka ya Membe kupata huruma ya jamii baada ya kuwa mtu wa sita kwenye matokeo ya NEC? Bado siamini maneno haya
 
Kwani ile Kamati ya Maadili ya CCM nao wote ni mafisadi?
Siwezi kuamini kama mahali sahihi pa Membe kumshitaki Bashe kwa masuala ya kampeni ni Mahakamani. Vingenevyo CCM hakuna uongozi, wote ni matapeli.
 
Wachangiaji wengine mnasikitisha. Bashe ni mtu tu wakawaida hana cheo kwenye chama wala serikalini. Sasa iweje aitwe kwenye kamati ya maadili kwa kumtukana kiongozi wa nchi? Kisa Bashe ni mwanachama wa CCM? Kwa hiyo wana CCM hawana haki ya kisheria? Msichanganye mambo hapa, Bashe anashitakiwa na Membe na wala sio na CCM, Membe anamtaka Bashe at
 
Wachangiaji wengine mnasikitisha. Bashe ni mtu tu wakawaida hana cheo kwenye chama wala serikalini. Sasa iweje aitwe kwenye kamati ya maadili kwa kumtukana kiongozi wa nchi? Kisa Bashe ni mwanachama wa CCM? Kwa hiyo wana CCM hawana haki ya kisheria? Msichanganye mambo hapa, Bashe anashitakiwa na Membe na wala sio na CCM, Membe anamtaka Bashe atoe ushahidi wa madai yake. Period. Kama mnapenda sana Bashe basi mngehakiki kwanza alichokisema kabla ya kuita waandishi wa habari.
 
msafala wa mamba na kenge wamo kwa uwezo anayefaa ni wasira.

chuki unamaanisha membe ni kenge ktk msafara wa mamba? Kwenda kortini kwa kauli zilizotolewa ktk jukwaa la siasa ni udhaifu mkubwa kwa mgombea wa urais.. Tyson anaonyesha uwezo wa kupokea mikoba ya jk, ni jembe kuliko membe.period!
 
Mkuu ukisoma vizuri jamaa amesema "alituita waandishi wa habari" na kusema wako wangapi ni vile waandishi nao wameingia kwenya mtego wa makundi ya CCM, kila anayetaka uongozi ndani ya CCM lazima awe na waandishi wake mfukoni, mifano ni mingi lakini fasta fasta hembu mkumbuke RWEYEMAMU jamaa ni kichwa kwenye uandishi lakini akaisaliti kalamu na karama yake 2005 na malipo yake si unaona alipo sasa?
Kweli mkuu. Rweyrmamu yuko wapi siku hizi na anafanya nini
 
Tunaisubiri J3 ifike tuone kama yatatokea haya ya mahakamani. Itakuwa poa sana ili watu wakome kuropoka ropoka.
 
mwanaume mwenziyo akikushika bega ukatulia, atakushika mgongo kukupima, ukitulia atakushika makalio ukitulia anajua una-enjoy anapeleka kidole Ikulu, mi nadhani Membe yuko sahihi kabisa asonge mbele tu
 
Wote sawa sawa hao wanajuana mtoto wa nyoka ni nyoka tuuu
 
kama ni kweli anataka kufungua kesi,(sidhani kama mwanadiplomasia anaweza kufanya hivyo)ningekuwa mimi membe nisingefungua kesi yoyote,NINGEMPOTEZEA !
 
Back
Top Bottom