zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,252
- 39,838
Yes kuitoa CCM automatic unamtoa Magufuli. Kumshabikia Membe maana yake kuchochea mvurugano kati ya chama na eventually kipasuke maana asingemtoa Magufuli kirahisi hivo.Hivi lengo la upinzani ni kumtoa Magu au ccm?
Maana mlianza kumshabikia Membe akiwa ccm
Mkuu watu dizaini ya Membe ndo wamejaa CCM.Nakubaliana na wewe. Membe ni heri hata angegombea Zitto! Hana hoja kabisa za kuteka hisia
Mgawanyiko? Mbona Membe kafukuzwa na hakuna mgawanyiko?Yes kuitoa CCM automatic unamtoa Magufuli. Kumshabikia Membe maana yake kuchochea mvurugano kati ya chama na eventually kipasuke maana asingemtoa Magufuli kirahisi hivo.
Na kwa matokeo yoyote yale ingekua advantage kwa upinzani kutumia fursa kujijenga. Rejea mtifuano wa Ruto na Uhuru si unaona kina odinga wanajijenga maana wanajua jubilee inapasuka 2022!!
Kwahiyo sio kwamba tulimpenda sana Membe ila maadam angeweza kuleta mgawanyiko CCM ama kumtoa jiwe basi ndio maana tukawa tunapiga kelele mitandaoni
NB: Hizo kelele zilituisha baada ya Lissu kutua kwa kishindo Dar, upepo ukahama rasmi maana tulipata serious contender wa magufuli na CCM
Naona huelewi.... Zile kelele zilikua kumchochea Membe ili aanzishe zengwe then makundi yajitokeze ndani ya CCM. Bottom line wafike uchaguzi wamevurugana.Mgawanyiko? Mbona Membe kafukuzwa na hakuna mgawanyiko?
Je, ccm wangeamua kumpitisha Membe ina maana mngempigia kura Membe?
Lissu anawatesa sana wa kijani, now mpo kama mmenyeshewa mvua, kila mnapogusa hapashikiki. Mrudisheni Nape, naye kwa sababu kazibuka ataweza kushindana na Lissu. Polepole yeye analialia tu kwenye media.
Kikwete anawazidi wote Lissu, Magufuli, Membe..
Charisma na mvuto Tz since independence ni Nyerere na Kikwete
Waliosalia wote wanababia babia
Ni kweli.Kikwete anawazidi wote Lissu, Magufuli, Membe..
Charisma na mvuto Tz since independence ni Nyerere na Kikwete
Waliosalia wote wanababia babia
We mzee toka upate kura mbili sijui dishi limeyumba [emoji2369]
Ulisema Lissu harudi amerudi unaanza kuleta ngonjera zingine.
Huoni hata aibu kuzidiwa kura na mtoto anayefaa kuwa mjukuu wako wa mwisho ?
Umeongea kitu very very deepMkuu huu mchango wangu unaweza kuwa mgumu sana kwa wengi kuuelewa lakini nimeupata kwa Magwiji wa masuala ya communication na bahati mbaya sio watanzanaia, na waliniambia hivi.
" mawasiliano ya ueleweke na uaminike kisiasa inategemea uko wapi? unaongea na nani? na wakati gani? wewe ni nani?"
Huyu mtu wenu anaongea kama ni mshamba anaaminika zaidi na washamba wote na wa makabila yote kuliko wale wenye kuongea kimjini. Yuko kama wao, anafanana nao, anazungumza kama wao. Atapata taabu kama asili ya watu anakotoka ni watu hawaaminiki lakini kama kabila au sehemu anayotoka ni jamii isiyo na mawaa, wasikilizaji watakuwa wanamfananisha na tabia au nzuri au mbaya kufuatana na jamii anayotoka.
Ukiwa mu-Ibbo watakufananisha na wa-Ibbo wanafahamika kivipi. kama ni wezi utahesabiwa na wewe ni mwizi, kama ni wema na wewe utahesabiwa hivyo hivyo.
Ndio maana wahubiri dunia nzima wana mfumo wa kuhubiri ambao unawavuta watu na kuwaamini.
Makasisi- wana mfumo na sauti ya kuwasiliana na flock ambao wata waamini na kuwavutika. Na nikapewa mifano mingi tuu.
Kwa hiyo kulitawala jukwaa inategemea na jamii unayo ongea nayo.
Nikaambiwa ushishangae Mzee Kikwete anaweza akashindwa vibaya kwa washamba kuliko huyo mshamba wako unae muona hawezi kuongea vizuri.
Nikaulizwa kabila nikasema wakasema inakuwaje? Nikawaambia sisi Upareni ukiongea Kiswahili bila lafudhi ya Kipare, huitwa Myika huyo. Na maana halisi ya Mnyika ni mtu yeyote ambae hayuko kama sisi, kwa hiyo lazima jihadhari nae kwa kuwa humjui.
Nyerere na Kikwete ni marais pekee ambao walipata uongozi kwa uwezo wao na mapambano.Uko correct 100%
Mchonga na mkwere Wana charisma
Mwisho wa siku nchi hii zaidi ya 98% ya watu wote wana mwogopa Magufuli. Hivyo mtu yeyote anayetunishiana msuli na Magu ni lazima aungwe mkono.Yes kuitoa CCM automatic unamtoa Magufuli. Kumshabikia Membe maana yake kuchochea mvurugano kati ya chama na eventually kipasuke maana asingemtoa Magufuli kirahisi hivo.
Na kwa matokeo yoyote yale ingekua advantage kwa upinzani kutumia fursa kujijenga. Rejea mtifuano wa Ruto na Uhuru si unaona kina odinga wanajijenga maana wanajua jubilee inapasuka 2022!!
Kwahiyo sio kwamba tulimpenda sana Membe ila maadam angeweza kuleta mgawanyiko CCM ama kumtoa jiwe basi ndio maana tukawa tunapiga kelele mitandaoni
NB: Hizo kelele zilituisha baada ya Lissu kutua kwa kishindo Dar, upepo ukahama rasmi maana tulipata serious contender wa magufuli na CCM
Ngoja nikuulize maswali mawili:-Mkuu huu mchango wangu unaweza kuwa mgumu sana kwa wengi kuuelewa lakini nimeupata kwa Magwiji wa masuala ya communication na bahati mbaya sio watanzanaia, na waliniambia hivi.
" mawasiliano ya ueleweke na uaminike kisiasa inategemea uko wapi? unaongea na nani? na wakati gani? wewe ni nani?"
Huyu mtu wenu anaongea kama ni mshamba anaaminika zaidi na washamba wote na wa makabila yote kuliko wale wenye kuongea kimjini. Yuko kama wao, anafanana nao, anazungumza kama wao,wamekutana na watu wengine wanao fanana nae. Atapata taabu kama asili ya watu anakotoka ni watu hawaaminiki lakini kama kabila au sehemu anayotoka ni jamii isiyo na mawaa, wasikilizaji watakuwa wanamfananisha na tabia ama nzuri, ama mbaya kufuatana na jamii anayotoka.
Ukiwa mu-Ibbo watakufananisha na wa-Ibbo wanafahamika kivipi. kama ni wezi utahesabiwa na wewe ni mwizi, kama ni wema na wewe utahesabiwa hivyo hivyo.
Ndio maana wahubiri dunia nzima wana mfumo wa kuhubiri ambao unawavuta watu na kuwaamini.
Makasisi- wana mfumo na sauti ya kuwasiliana na flock ambao wata waamini na kuwavutika. Na nikapewa mifano mingi tuu.
Kwa hiyo kulitawala jukwaa inategemea wew ni nani na jamii unayo ongea nayo.
Nikaambiwa ushishangae Mzee Kikwete anaweza akashindwa vibaya kwa washamba kuliko huyo mshamba wako unae muona hawezi kuongea vizuri anapo ongea na washamba wenzake.
Nikaulizwa kabila nikasema wakasema inakuwaje? Nikawaambia sisi Upareni ukiongea Kiswahili bila lafudhi ya Kipare, huitwa Myika huyo. Na maana halisi ya Mnyika ni mtu yeyote ambae hayuko kama sisi, kwa hiyo lazima jihadhari nae kwa kuwa hufanani nae na humjui.
So membe tuu hata chiba pia hana mvuto
Mwisho wa Novemba Lissu atajikuta kwenye hii hali. Watanzania wengi wanaujua unafiki.Ile ilikuwa ushabiki maadazi. Wakiaminishwa wanafuata hakuna kujiuliza kama nanihiii.
Watu wasio na mipango mnafuata upepo tu.Yes kuitoa CCM automatic unamtoa Magufuli. Kumshabikia Membe maana yake kuchochea mvurugano kati ya chama na eventually kipasuke maana asingemtoa Magufuli kirahisi hivo.
Na kwa matokeo yoyote yale ingekua advantage kwa upinzani kutumia fursa kujijenga. Rejea mtifuano wa Ruto na Uhuru si unaona kina odinga wanajijenga maana wanajua jubilee inapasuka 2022!!
Kwahiyo sio kwamba tulimpenda sana Membe ila maadam angeweza kuleta mgawanyiko CCM ama kumtoa jiwe basi ndio maana tukawa tunapiga kelele mitandaoni
NB: Hizo kelele zilituisha baada ya Lissu kutua kwa kishindo Dar, upepo ukahama rasmi maana tulipata serious contender wa magufuli na CCM
Before ilikuwa twende na Membe kachero mbobezi leo hana mvuto.
Hii dunia iache tu hata huyu wanamshabikia kwa kale kamsemo tu kuwa.....
Mkwere ni Smart sana aisee hata nyerere anamjua vizuri kwenye Kura za maoni 1995Ngoja nikuulize maswali mawili:-
1. Kama umewahi kuwasikiliza wote wawili, nani muongeaji mzuri kati ya Mkapa na JK?
2. Kwa maoni yako, ni nani charismatic leader kati ya hao wawili?!
Pole Membe. Siasa sihasaNakubaliana na wewe. Membe ni heri hata angegombea Zitto! Hana hoja kabisa za kuteka hisia
Naona huelewi.... Zile kelele zilikua kumchochea Membe ili aanzishe zengwe then makundi yajitokeze ndani ya CCM. Bottom line wafike uchaguzi wamevurugana.
Hayo yalikua matarajio sadly walimkata kabla hajachukua fomu so target haikufanikiwa. But kikubwa ni kwamba sio kwamba Membe alipendwa mnoo but walitaka mgawanyiko
Maoni mengine ni kwamba Membe alipotimuliwa angekua mgombea wa upinzani kma Lissu angekatwa. Yote kwa yote mtu wa kupambana na CCM ipasuke from inside ndio ilikua chanzo cha zile kelele ila sio kwamba Membe anakubalika kivileee na upinzani.
Ni speculation tu
Ngoja nikuulize maswali mawili:-
1. Kama umewahi kuwasikiliza wote wawili, nani muongeaji mzuri kati ya Mkapa na JK?
2. Kwa maoni yako, ni nani charismatic leader kati ya hao wawili?!