Membe ana mikwara kama PolepoleHayawi hayawi sasa yamekuwa. Niguse ninuke. Baba umeguswa,nuka sasa.
Tusaidie tafadhali. Yupo kituo gani cha polisi? Amekamatwa kwa kosa gani?Membe ana mikwara kama polepole
Mtu kakamatwa na askari halafu yeye anatuambia wamemteka, wamteke kwa lipi hasa la maana alilo nalo ?
Kumbe watekaji mpo hata humu kwa wanaume???Membe ana mikwara kama polepole
Mtu kakamatwa na askari halafu yeye anatuambia wamemteka, wamteke kwa lipi hasa la maana alilo nalo ?
Hana uwezo wa kunuka! Membe ni kama Lissu tu!Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Niguse ninuke. Baba umeguswa,nuka sasa.
Wewe elewa kwamba yupo kwenye mikono salama, mengine hayakuhusu bwashweeTusaidie tafadhali. Yupo kituo gani cha polisi? Amekamatwa kwa kosa gani?
Pambaneni na huyo Membe wenu.CCM wana siasa za kipumbavu sana
braza mmeteka mbwa wa John Wick kazi mnayo.Membe ana mikwara kama polepole
Mtu kakamatwa na askari halafu yeye anatuambia wamemteka, wamteke kwa lipi hasa la maana alilo nalo ?
Kwa sheria ipi?Wewe elewa kwamba yupo kwenye mikono salama, mengine hayakuhusu bwashwee