wa hapa hapa
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 286
- 151
yaani unaenda ulaya kupata uzoefu ili ukatawale watu wa namtumbo?? hiyo ni akili kweli??
Watu wa Namtumbo wakoje mkuu?
yaani unaenda ulaya kupata uzoefu ili ukatawale watu wa namtumbo?? hiyo ni akili kweli??
Kuna taarifa kwamba Alikwenda katika ufunguzi wa mkutano wa UMAKI Huko Unguja kiofisi. Alipo kamilisha alikuwa Bungeni wakati wa bajati.
Anatafuta kick