chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 20,725
- 31,305
Huyu anapoteza muda tu
mkamiti kibayasi nataka nitangaze nia kwako...uvumilivu umenishinda,sina moyo wa chuma
Last edited by a moderator:
Huyu anapoteza muda tu
atangulie wapi:confused2:angetangulia tu ili apunguze msururu wa wagombea,
Halafu jamaa amechakaa ghafla sana.! Nini shida inayomchakaza namna ilee fasta?
Khaa!! Eti nasikia UKAWA wanasubiri mzee Jafari atemwe CCM ndiyo wamsimamishe. Nimesikia tu:glasses-nerdy:wakomee!!wametulia pesa zetu bado wanatuomba tena ili warudi wale ma pesa za watoto wetu.Mbona UKAWA tumetulia tu!??
Tatizo anafikiri ndege ni sawa na mabasi kugongana ovyo.
Air collision kutokea ni ngumu sana maana kwenye ndege kuna CAS ambayo inataarifu ukaribu kati ya ndege mbili ili pilot aweze kudivert course of travel endapo watakuwa wanasafiri kuelekea njia moja ambayo itsababisha wagongane.
Na pia ni mara chache sana kwa abiria kujua hilo
Naambiwa rubani alikuwa anajaribu kumuovateki mwenzake kwenye kona... !!Hamadi!! akakutana na tuta!

Khaa!! Eti nasikia UKAWA wanasubiri mzee Jafari atemwe CCM ndiyo wamsimamishe. Nimesikia tu:glasses-nerdy:
Mkuu bora umesema, maana mleta mada na hiyo sijui radio RFA hawajui wanachokisema. Sio rahisi kihivyo ndege kugongana. Kwanza ndege zinapewa njia na air controller kutoka kwenye tower na sio rahisi atoe njia moja kwa ndege mbili zinazoruka opposite direction. Na hata ikitokea kwa makosa ya kinadamu air controller akafanya hivyo, kwenye ndege kama ulivyosema kuna vifaa vya kieletroniki vinavyo mshtua pilot kwamba kuna ndege nyingine kwenye hivyo njia na hivyo kumpa pilot nafasi ya either kwenda juu zaidi au kushuka chini. Uamuzi wa kushuka au kwenda juu unatoka na direction anayokuwa anaelekea. Sasa huu uzushi wa kusema Membe ameepuka kifo kwa kuwa ndege zilitaka kugongana tena hapo tu kati ya Zanzibar na Dar ni kichekesho au ni uongo uliopangwa kutoa nafasi ya jina la Membe kuwa midomoni mwa watu.
Tiba
Naambiwa rubani alikuwa anajaribu kumuovateki mwenzake kwenye kona... !!Hamadi!! akakutana na tuta!
yaani unaenda ulaya kupata uzoefu ili ukatawale watu wa namtumbo?? hiyo ni akili kweli??Mgombea wa Ukawa yuko mazoezini Ulaya kujitayarisha kwa kampeni. CCM bado wanatafuta kapteni wa timu yao.
Naambiwa rubani alikuwa anajaribu kumuovateki mwenzake kwenye kona... !!Hamadi!! akakutana na tuta!