Bernad Morrison agomea sub awaaga Ken Gold Kwa dharau

Bernad Morrison agomea sub awaaga Ken Gold Kwa dharau

Timu ishashuka daraja,sub wafanye mchezaji akiumia au kuchoka mwenyewe ama akiwa na kadi ya njano tayari.
 
Mbuzi ni mbuzi hawezi kuwa simba

Watu wenyewe wameshajichokea hao sasa hata akitoka anaona kazi bure

Kashajichokea huyo
 
Coach wa KenGold amesema walikubaliana kwamba atacheza half kutokana na hali yake. Baadae akasema anaweza kuendelea wakamwacha aendelee. Hajacheza mwaka na nusu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom