Naona kuna haja ya kumpunguzia raisi madaraka nafasi nyeti ziwe zafanyiwa interview na makampuni kama KPMG
Huyu ni fisadi mwenzao hamna lolote. Halafu, makatibu wakuu wastaafu ndiyo wanateuliwa sana kwenye mabodi mbalimbali, why?????Wandungu tusilaumu kila jambo linalofanywa na JK!
Mchomvu is a good leader!! he is straight, analytical na open to new ideas!!
THATS HOW I KNOW MR. MCHOMVU!
70! Hatari hii pia uwa sielewi iwapo serikali kwanini haiamini kuwa kuna wakati inashindwa? kama serikali ingekuwa na system ya kuainisha mambo waliyoshindwa badala ya kuorodhesha mambo waliyoweza kufanya, sometimes wangekuwa wanjuwa pale waliposhindwa sababu ilikuwa nini na labda serikali ingekuwa na ufanisi mkubwa sana.
Ni kwasababu serikali haina utaratibu huo ndio maana mpaka sasa unakuta mtu aliyekuwa ndani ya serikali alifanya madudu na kujifunza kila siku hadi anazeeka bado anatolewa sehemu hii kwenda nyingine. Ndani ya serikali hii bado wamo ambao hata kusoma hawajui, wamo ambao kazi yao ni kuingia kusoma magazeti na kuchezea mitandao tu siku nzima! yamkini wengine ndio wanao lalamika humu JF kumbe hamna hamna wanachozalisha.
Sijui kama tutafika kwa ujinga huu wa viongozi wetu.
Dr.Dau alikuwa anavizia hiyo nafasi tatizo mdini na ana lundo la miradi iliyo titiri ufisadi kwenye tenda na za nssf na miradi yote itarejesha faida baada ya miaka 100 ni sawa na uchezea pesa za wanachama kuwa na mtu asiyejua analysis ya financial
Issue ni kwamba hiki kijamaa kinatafuta 70 sasa, huoni kwamba ndo watu wanafanya mambo hayaendi hawa
Heshima yako mkuu!!!
Dr. Dau atoke kwenye nafasi ya utendaji aende kuwa mshauri wa bodi ambayo ni siasa tu du!! hii kali mamana yeye ni MD NSSF alafu atake uwenyekiti wa bodi du!!
alafu bungeni nilisikia NSSF wanapata faida kwenye uwekezaji alafu wewe wasema hasara
avoid hearsay!! na vitu vidogovidogo udini hapo wapi!! usipende kuchangia kitu hata ukifahamu
Napenda kusasahihisha kuwa alikuwa CEO wa MCA-T. ni kwamba mpaka sasa Mchomvu ndiye CEO wa MCA-T na ni mtu makini na mwadilifu pamoja na umri kumwacha kidogo
we zezeta toa pumba zako hapa hujui ukiandikacho.
70! Hatari hii pia uwa sielewi iwapo serikali kwanini haiamini kuwa kuna wakati inashindwa? kama serikali ingekuwa na system ya kuainisha mambo waliyoshindwa badala ya kuorodhesha mambo waliyoweza kufanya, sometimes wangekuwa wanjuwa pale waliposhindwa sababu ilikuwa nini na labda serikali ingekuwa na ufanisi mkubwa sana.
Ni kwasababu serikali haina utaratibu huo ndio maana mpaka sasa unakuta mtu aliyekuwa ndani ya serikali alifanya madudu na kujifunza kila siku hadi anazeeka bado anatolewa sehemu hii kwenda nyingine. Ndani ya serikali hii bado wamo ambao hata kusoma hawajui, wamo ambao kazi yao ni kuingia kusoma magazeti na kuchezea mitandao tu siku nzima! yamkini wengine ndio wanao lalamika humu JF kumbe hamna hamna wanachozalisha.
Sijui kama tutafika kwa ujinga huu wa viongozi wetu.
We gonga ubwabwa wako huko, Dr Dau alikuwa anavizia CG ambayo Kitilya kaongezewa miaka mingine m2
Ndugu Bernad Mchomvu ameteuliwa na RAIS kushika nafasi ya uenyekiti wa bodi ya TRA.
Kabla ya hapo alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Millennium Challenge ile ambayo ilipewa na Bush $700million. Na nyuma zaidi alishakuwa katibu mkuu wizara ya fedha, ndani, PM.
Mwenye undani wa CV ya ndugu Mchomvu atujulishe hapa tuone kama pamoja na kustaafu anastahili kupewa majukumu mazito kiasi hiki
<br />Kukosa udini huyo Dau hata hiyo ya NSSF hastahili, kwani fani yake ni marketing akiwa pale UDSM. Kikwete hashauriki kwani kumuongezea Kikilya miaka mingine miwili ni sawa na kumpa Mramba nguvu ya nyuma ya pazia kwani hawa ndio vivuli vyaka alivyoviacha serikalini. Unadhani wana loyalty kwa muungwana wakati bosi wao anasulubiwa mahakamani? Serkali hii ingekuwa makini ile kazi ya DG wa TRA angepewa mtu mtendaji mwenye background ya accounting kama vile Blandina Nyoni. Mwanamke angefaa kuwa DG wa TRA kwa sababu moja kubwa, wanawake ni waoga sio wezi wakubwa kama wanaume na hawana mitandao mingi!!