Bernad Mchomvu ateuliwa mwenyekiti bodi ya TRA

Bernad Mchomvu ateuliwa mwenyekiti bodi ya TRA

Kuhoji qualities baada ya uteuzi ni makosa

Kama mnataka tuwe analytical basi JF ingekua na infomration way below
 
Naona kuna haja ya kumpunguzia raisi madaraka nafasi nyeti ziwe zafanyiwa interview na makampuni kama KPMG

Haswaaaaa..
Nafasi nyeti zote,ni afadhali kulipa gharama kubwa ya kuwafanyia usaili tupate watendaji watakaotusaidi badala ya kuwazungusha hao hao hata kama uwezo na ufanisi wao unabakia pale pale!
Faida nyingine ni kupata watu wengi zaidi na kuwachuja badala ya mfumo huu wa mteuliwa kutegemea baraka za mteuaji ambapo mara nyingine inakuwa kwa sabau ya kujuana,undugu au hata maslahi mengine
 
Wandungu tusilaumu kila jambo linalofanywa na JK!
Mchomvu is a good leader!! he is straight, analytical na open to new ideas!!
THATS HOW I KNOW MR. MCHOMVU!
Huyu ni fisadi mwenzao hamna lolote. Halafu, makatibu wakuu wastaafu ndiyo wanateuliwa sana kwenye mabodi mbalimbali, why?????
 
Napenda kusasahihisha kuwa alikuwa CEO wa MCA-T. ni kwamba mpaka sasa Mchomvu ndiye CEO wa MCA-T na ni mtu makini na mwadilifu pamoja na umri kumwacha kidogo
 

70! Hatari hii pia uwa sielewi iwapo serikali kwanini haiamini kuwa kuna wakati inashindwa? kama serikali ingekuwa na system ya kuainisha mambo waliyoshindwa badala ya kuorodhesha mambo waliyoweza kufanya, sometimes wangekuwa wanjuwa pale waliposhindwa sababu ilikuwa nini na labda serikali ingekuwa na ufanisi mkubwa sana.

Ni kwasababu serikali haina utaratibu huo ndio maana mpaka sasa unakuta mtu aliyekuwa ndani ya serikali alifanya madudu na kujifunza kila siku hadi anazeeka bado anatolewa sehemu hii kwenda nyingine. Ndani ya serikali hii bado wamo ambao hata kusoma hawajui, wamo ambao kazi yao ni kuingia kusoma magazeti na kuchezea mitandao tu siku nzima! yamkini wengine ndio wanao lalamika humu JF kumbe hamna hamna wanachozalisha.

Sijui kama tutafika kwa ujinga huu wa viongozi wetu.

Uzee si hoja.2015 Dr.Slaa atakua 73,unawaambia nini wafuasi wake?
 
Dr.Dau alikuwa anavizia hiyo nafasi tatizo mdini na ana lundo la miradi iliyo titiri ufisadi kwenye tenda na za nssf na miradi yote itarejesha faida baada ya miaka 100 ni sawa na uchezea pesa za wanachama kuwa na mtu asiyejua analysis ya financial

Heshima yako mkuu!!!

Dr. Dau atoke kwenye nafasi ya utendaji aende kuwa mshauri wa bodi ambayo ni siasa tu du!! hii kali mamana yeye ni MD NSSF alafu atake uwenyekiti wa bodi du!!

alafu bungeni nilisikia NSSF wanapata faida kwenye uwekezaji alafu wewe wasema hasara

avoid hearsay!! na vitu vidogovidogo udini hapo wapi!! usipende kuchangia kitu hata ukifahamu
 
Issue ni kwamba hiki kijamaa kinatafuta 70 sasa, huoni kwamba ndo watu wanafanya mambo hayaendi hawa

Mkuu nataka kukubaliana na wewe. Nchi yetu inaelekea pabaya sasa. Inakuwaje mtu ameishatoka kwenye utumishi wa umma kisha anarudi hukohuko kuwatumikia wananchi (Sitaki mtu aseme mwenyekiti wa board si mtumishi wa umma). Zaidi ya hapo huyu jamaa ni Mkurugenzi wa [Millenium Challenge Account] MCA (T) halafu tena analundikiwa jicheo lingine wakati vijana wanatafuta ajira. Halafu hii dhana ya kuwapa ujumbe ama uenyekiti wa board watu waliostaafu inaleta kero kweli maofisini. Utakuta mtu kastaafu anataka apate ofisi kwenye shirika ambalo yeye ni mwenyekiti ama mjumbe wa board.
 
Heshima yako mkuu!!!

Dr. Dau atoke kwenye nafasi ya utendaji aende kuwa mshauri wa bodi ambayo ni siasa tu du!! hii kali mamana yeye ni MD NSSF alafu atake uwenyekiti wa bodi du!!

alafu bungeni nilisikia NSSF wanapata faida kwenye uwekezaji alafu wewe wasema hasara

avoid hearsay!! na vitu vidogovidogo udini hapo wapi!! usipende kuchangia kitu hata ukifahamu

Mkuu huenda jamaa kashindwa kutofautisha mwenyekiti wa board na Commissioner General!!
 
Jina nalisikia tangu nipo mdogo hadi mtu mzima,tunahitaji watu wasomi wapya wenye changamoto mpya nao waongoze,kama umeshastaafu uendelee na miradi yako mingine na kama hukujiandaa kimaisha basi..au 2Z hamna wasomi wa kutosha?
 
Napenda kusasahihisha kuwa alikuwa CEO wa MCA-T. ni kwamba mpaka sasa Mchomvu ndiye CEO wa MCA-T na ni mtu makini na mwadilifu pamoja na umri kumwacha kidogo

Mkuu ina maana hakuna watu waadilifu wenye umri mdogo wapewe nafasi hizo ili huyu mzee makini na mwadilifu akajipumzishe?
 
Jamani mbona tunalalamika umri wa huyo mzee.?? kwani mmesahau Tanzania Vijana ni Taifa la kesho, tuendelee kusubiri mpaka kesho itakapofika...
 
Siku hizi JK anaweza anakamteua hata bundi achukue ofisi bila hata kuangalia athari zake kwa nchi. Tena siku hizi wale makada wa ccm wazee kabisa kabisa kama Ana Abdallah bado anapewa uenyekiti sasa unategemea kuna maendeleo ktk shirika kama hilo! Hata huyu mchomvu lazima atakuwa anaongoza TRA kwa safeguard interest za boss wake JK na sio nchi!
 
we zezeta toa pumba zako hapa hujui ukiandikacho.

Mkuu umetumia lugha kali kiasi sasa kwa kuwa umesema kaongea Pumba hebu tuweke sawa hapa maana umempinga tena kwa matusi .Ukweli ni upi ambao unautaka wewe kuusikia ?
 

70! Hatari hii pia uwa sielewi iwapo serikali kwanini haiamini kuwa kuna wakati inashindwa? kama serikali ingekuwa na system ya kuainisha mambo waliyoshindwa badala ya kuorodhesha mambo waliyoweza kufanya, sometimes wangekuwa wanjuwa pale waliposhindwa sababu ilikuwa nini na labda serikali ingekuwa na ufanisi mkubwa sana.

Ni kwasababu serikali haina utaratibu huo ndio maana mpaka sasa unakuta mtu aliyekuwa ndani ya serikali alifanya madudu na kujifunza kila siku hadi anazeeka bado anatolewa sehemu hii kwenda nyingine. Ndani ya serikali hii bado wamo ambao hata kusoma hawajui, wamo ambao kazi yao ni kuingia kusoma magazeti na kuchezea mitandao tu siku nzima! yamkini wengine ndio wanao lalamika humu JF kumbe hamna hamna wanachozalisha.

Sijui kama tutafika kwa ujinga huu wa viongozi wetu.

Hoja zingine za ukosoaji zimekosa mashiko mpaka unajiuliza huu utamaduni wa kupinga kila kitu utatufikisha wapi? Kati ya waliochangia hakuna aliyetuonyesha tatizo lolote la kiutendaji la Mchomvu katika nafasi mbalimbali alizoshika huko nyuma. Tunacholalamikia hapa ni umri wake unaodaiwa kukaribia miaka 70, as if kuwa kijana ni guarantee ya utendaji bora na uliotukuka ilhali tuna mifano ya vijana kibao waliopewa nafasi na hawakufanya lolote la kujivunia. Mbona akia Rupert Murdoch wa dunia ya leo wamefanikiwa kuyaongoza mashirika makubwa na yenye tija bila tatizo licha ya umri wao mkubwa?

Hii tendency ya kukosoa kila kitu tena bila hata hoja ya msingi imetugeuza kuwa forum ya walalamikaji hata katika mambo yasiyo na sababu ya kulalamika.
 
We gonga ubwabwa wako huko, Dr Dau alikuwa anavizia CG ambayo Kitilya kaongezewa miaka mingine m2

Kukosa udini huyo Dau hata hiyo ya NSSF hastahili, kwani fani yake ni marketing akiwa pale UDSM. Kikwete hashauriki kwani kumuongezea Kikilya miaka mingine miwili ni sawa na kumpa Mramba nguvu ya nyuma ya pazia kwani hawa ndio vivuli vyaka alivyoviacha serikalini. Unadhani wana loyalty kwa muungwana wakati bosi wao anasulubiwa mahakamani? Serkali hii ingekuwa makini ile kazi ya DG wa TRA angepewa mtu mtendaji mwenye background ya accounting kama vile Blandina Nyoni. Mwanamke angefaa kuwa DG wa TRA kwa sababu moja kubwa, wanawake ni waoga sio wezi wakubwa kama wanaume na hawana mitandao mingi!!
 
Ndugu Bernad Mchomvu ameteuliwa na RAIS kushika nafasi ya uenyekiti wa bodi ya TRA.

Kabla ya hapo alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Millennium Challenge ile ambayo ilipewa na Bush $700million. Na nyuma zaidi alishakuwa katibu mkuu wizara ya fedha, ndani, PM.

Mwenye undani wa CV ya ndugu Mchomvu atujulishe hapa tuone kama pamoja na kustaafu anastahili kupewa majukumu mazito kiasi hiki

Siyo kwamba alikuwa, ila yeye bado ni "Chief Executive Officer" wa Millenium Challenge Account - Tanzania. Uenyekiti wa bodi siyo nafasi ya utendaji
 
Kukosa udini huyo Dau hata hiyo ya NSSF hastahili, kwani fani yake ni marketing akiwa pale UDSM. Kikwete hashauriki kwani kumuongezea Kikilya miaka mingine miwili ni sawa na kumpa Mramba nguvu ya nyuma ya pazia kwani hawa ndio vivuli vyaka alivyoviacha serikalini. Unadhani wana loyalty kwa muungwana wakati bosi wao anasulubiwa mahakamani? Serkali hii ingekuwa makini ile kazi ya DG wa TRA angepewa mtu mtendaji mwenye background ya accounting kama vile Blandina Nyoni. Mwanamke angefaa kuwa DG wa TRA kwa sababu moja kubwa, wanawake ni waoga sio wezi wakubwa kama wanaume na hawana mitandao mingi!!
<br />
<br />
ona mawazo ya uyu great thinker...eti udini na wanawake sio wezi na waoga
 
Back
Top Bottom