Berlusconi apigwa

Shaycas

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2009
Posts
906
Reaction score
112
Waziri Mkuu wa Italia,Silvio Barluscon amepigwa usoni wakati akisalimiana na wananchi ktk harakati za kampeni zinazoendelea huko Italia.Mtu mmoja anayesadikiwa kuwa na kipande cha chuma mkono alimpiga waziri huyo ambaye alichanika uso na kutokwa na damu kitendo kilicholazimu akimbizwe hosp.Aliyempiga amekamatwa na uchunguzi unaendelea.
SOURCE:CNN
 
Kuna namna nyingi za kuonyesha kutopendezwa na Utawala wa aina furani.

1. Kutumia Mdomo - Kukemea, kusema n.k
2. Kutumia Mkono, kupiga kuzuwia n.k
3. Kunyamaza na kuumia moyoni (ambayo wataalam wanasema ni udhaifu)
 
Tusubiri tusikie habari zaidi, huwenda kama nchi tutakuwa na la kujifunza. Nyakati fulani wanyonge huwa na namna yao ya kuwafundisha viongozi wao.
 
Tusubiri tusikie habari zaidi, huwenda kama nchi tutakuwa na la kujifunza. Nyakati fulani wanyonge huwa na namna yao ya kuwafundisha viongozi wao.


Profile: Silvio Berlusconi


SEE HOW HII NJEMBA ILIVYO CONTRAVERSIAL LEADER KTK HII DUNIA UKIMTOA G.W BUSH ALIE WAHI PIA KURAMBWA KIATU , UONGOZI WAKE UMEKUWA KERO KWA BAADHI YA WAPIGA KURA WAKE!

NI FISADI KULIKO RA, SO TO SAY!

http://news.bbc.co.uk/1/hi/world/europe/3034600.stmA
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=JQW5qKkoqi8[/ame]


Italy's PM Silvio Berlusconi Attacked Punched in Face


Italy's PM Silvio Berlusconi is bloodied by attack



Mr Berlusconi was whisked away with blood on his face following the incident

Italian Prime Minister Silvio Berlusconi has been hit in the face and knocked to the ground after a political rally in the centre of Milan.
Two of his teeth were broken and he received a minor nose fracture and cuts to his lip after being punched or hit with an object, initial reports say.
Mr Berlusconi, 73, who tried to assure supporters afterwards he was okay, is spending the night in hospital.
An Italian man said to have a history of mental problems was arrested.
Alleged attacker Massimo Tartaglia was detained at the scene

Massimo Tartaglia, 42, had no previous criminal record, police were quoted as saying.
After the attack on Sunday evening the prime minister, looking dazed, was helped to his feet by aides and put in a car. He got out and tried to climb on the car to show he was all right, before being driven away.
It was a typical show of defiance by a political fighter, says the BBC's Duncan Kennedy in Rome.
Mr Berlusconi insisted he was well at the hospital.
Scuffles
Mr Berlusconi had been greeting supporters in a square in Milan when the assault took place.
According to Italian newspaper, Corriere della Sera, a small group of protesters were shouting slogans and whistling during the rally.
There were reported to have been scuffles between the hecklers and security staff.
During the gathering he told supporters: "They paint me as a monster, but I don't think I am one - firstly because I am good-looking and secondly because I'm a decent chap".
The incident will prompt questions about Mr Berlusconi's security arrangements, says our correspondent.
But he is a gregarious man who likes to mingle with crowds, he adds.
He is also a divisive figure who attracts intense loyalty from some and utter disdain from others.
Mr Berlusconi has been under pressure in recent months.
His private life has been in the spotlight, amid allegations that he slept with prostitutes, and after his wife filed for divorce.
He has dismissed accusations of ties to the Mafia, and criminal cases against him have resumed after a law giving him immunity was overturned.
A week ago tens of thousands of people attended an anti-Berlusconi rally in Rome.
 
Inawezekana hilo jamaa mama yake ni huyu hapa chini:

Nguli, ukiwa Rais wa Tanzania utamzidi jamaa???

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=W3k9pMtrccQ&feature=fvw[/ame][ame="http://www.youtube.com/watch?v=RluCs8KYMII&feature=related"][/ame]
 
wananchi wakifika mahali kama hapo elewa ule msemo wa mwalim julias k nyerere !! ungatuke kabla hujangatuliwa
 

wacha kupigwa tu meno yametoweka lanatu lilahi ,mwenzio akinyolewa wewe jitie maji yatafika mpaka kwa wafrika .any way wataliana hao wanastahiki hayo.
 
Mungu na aepushie mbali vitendo kama hivi, maana na hisi sikumoja haya yatatokea Tanzania
 
Mwakani tujiandae, tutasikia na kuona mengi, si tumekubali dunia sasa kijiji? Sipati picha kampeni zitakuwaje
 
Mungu na aepushie mbali vitendo kama hivi, maana na hisi sikumoja haya yatatokea Tanzania

epushie mbali wapi? muulize mzee Ruksa ndo jue kma yameepushwa au vipi!
 
Waziri Mkuu wa Italia Ashushiwa Kipigo, Ang'olewa Meno


Italian Prime Minister Silvio Berlusconi is recovering after being attacked following a rally in Milan's Cathedral Square.



The attack was caught by television cameras and happened as Mr. Berlusconi


He was left bleeding after being struck by a man wielding a souvenir model



Massimo Tartaglia, who is believed to have a history of mental illness, has been charged with aggravated assault in relation to the attack.



Mr Berlusconi, 73, tried to assure supporters afterwards he was fine.
 

Attachments

Kuna sehemu nyingine mtu akihisi unaleta mauzauza hukumu ni papo kwa papo. Pole sana mzee wa totoz
 
wananchi wakifika mahali kama hapo elewa ule msemo wa mwalim julias k nyerere !! ungatuke kabla hujangatuliwa

Sure!
Afterall ana extensive record of criminal allegations, including mafia collusion, false accounting, tax fraud, corruption and bribery of police, anyway him being among the italian tycoons amekuwa na influence kubwa sana kisiasa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…