Benteke network si ikakata bwana.....

Benteke network si ikakata bwana.....

Muvi imeisha ilikua ni usiku tayari, binti akaniambia, "Ben I can spend overnight at ya place" He.!..nikasema hapa sasa nikimruhusu tu ntaaribu kila kitu.

Maana nikifikiria fujo za mama mwenye nyumba kuamka saa kumi asubuhi na madumu yake ya maji, ikifuatiwa na harufu ya vitumbua anavyokaanga.....ingekua ni majanga...

Basi akili ya haraka ikanijia nikamwambia "no electricity" basi binti alivyoshtuka utafikiri nimemwambia nalala nje.


Ben akili ya fasta ikanijia....mimi mbio bafuni..nikatafuta kipande cha sabuni sikuona...naona makopo kopo tu.....nikaona moja limeandikwa shampoo...nikafungua nikamimina ya kutosha kiganjani...dakika tatu tu network ikarudi lakini, baa mbili...kwa kweli sikusubiri nikasema hizi hizi zinatosha minara iliyobaki itakamata tu, nikatoka mbio..binti yuko bado barazani... nikamkamata mkono, akashtuka ,

Ben what? r u ok? basi mimi namvutia ndani kwa nguvu huku namjibu "it is standing, it is standing" yaani ninavyoongea hapa nimemwacha amelala hata kazini hajaenda leo.

Hahahahaha! Ulikua ukitafuta kipande cha sabuni!? Unabahati ungekutana na hair removal gel ungekuja hadisia hapa mengine.
Unajua ukweli ni kwamba:
1. Masturbation ina kuharibu banteke kiasi kwamba ukikuta K kama hujavuta hisia vizuri kitu inaweza kata katikati.
2. Mazingira ya "kizungu" kidogo yalikuweka sehemu unfamiliar kiasi cha kuzuia steam zako original.
3. Hivi vitoto vya samaki samaki, runway, george and dragons, house e.t.c. kizungu kiingi ila asilimia kubwa sio vitamu. Vinatumika sana sana, huoni mtoto aliamua kutokea mwenyewe maana design aliona unashindwa kujieleza! Kwa movie kasema aje kwako, wewe no electricity, unampeleka mpaka home hata hujafanya cha maana njiani na unamfikisha unataka kuondoka!! Hehehe!
Huwezi kufananisha hivi vitoto na mabinti "washamba" waliotulizana zaidi, mzee mzima ukiwa unakula unahisi kabisa unapiga kitu ya nadra,
sio hivyo vya miniskirt, instagram kwa wingi vina ubaridi flani dushe experienced inaona kuwa hapa naonewa tu hichi kinu hata kunikumbuka asbuhi hakitanikumbuka.

Kulala kwake sio shughuli yako mkuu, wewe usiku mzima anahangaika ku standing, hadi kupepea kibarazani lazima mlilala saa 11 asbuhi. Sasa ataendeje kazini? Halafu na wewe unafanya nini hadi asbuhi hapo!!? Utakutwa braza ohoooo!
 
Hahaha..yani huyu lazima avute kasi kupitia puli....
Ila nadhani Miss chagga benteke atakufaa maana historia inaonyesha wewe hupendi kujituma

that is history ma dear and that is society point of view.... when to come to individualism point of view aiseee jamaaa atapotea njia
 
that is history ma dear is that is society point of view.... when to come to individualism point of view aiseee jamaaa atapotea njia

naona mwingine wa kizungu anaingia anga zangu.....ntapotea njia eee.🙂
 
:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:Aaaaaah Benteke unanifurahishaga sana na story zako, mara michepuko, mara kutongoza kwa kizungu kumekuumbua, leo mara network error!!! You make my day, nimecheka sanaaaa. Ila Benteke nakushauri ukatoe huo mkono wa sweta uta-enjoy sana!!! :wink2::wink2:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom